Kwa wanaotaka mkopo wa benki fasta

Kwa wanaotaka mkopo wa benki fasta

ben van mike

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
467
Reaction score
190
wadau kuna jamaa kanisaidia kupata mkopo kariakoo , branch ya stanbic ,wanatoa mkopo kwa wafanyabiashara walio kariakoo bila security , kaniuliza kama kuna watu wapo interested, if you are intersted mcheki jamaa 0717178455 atakusaidia
 
Nini sifa za kupata huo mkopo?, Riba ikoje?, hatua gani wanachukuliwa wanaoshindwa kurudisha?
Barclays nao walianza hivo hivo, leo wanafunga matawi kumi. Hivi Hizi Bank huwa hazina vitengo vya Utafiti?
 
Standard bank group wamejipanga sana! Sio sawa kuwafananisha na barclays group wanaochemsha nchi za africa. Barclays wanakochokifanya sasa kwa NBC Tanzania matokeo yake yataonekana soon!

Back
Top Bottom