Kwa wanaotegemea kujiunga na sua mwaka huu ingia hapa

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
kwa swali lolote kuhusianA na sokoine university of agriculture (SUA) kwa wale form six waliomaliza mwaka huu na wanategemea kujiunga na chuo hiki.... tafadhali uliza hapa
 
kwa swali lolote kuhusianA na sokoine university of agriculture (SUA) kwa wale form six waliomaliza mwaka huu na wanategemea kujiunga na chuo hiki.... tafadhali uliza hapa

...nilimaliza PCB mwaka jana(2013)..na nilscore ECC..(11points)..nataka kusoma BVM hapo SUA...vp naweza kupata?
 
mkuu vipi kuhusiana na land management na pia uwezekano wake wa ajira.
 
hizi marks zako ukiziconvert kwa big results unakula 4 yako nzuri tu.

Acha unafiki mkuu km huna msaada ni bora utulie,ukweli ni kwamba C ya miaka ya nyuma ni sawa na B plane ya big result so kaa ufikiri kabla hujacomment
kukudhibitishia.
 
Naskia architecture hapo ni ngumu kupata nafasi je ni kweli.

. Nimesoma HGE nna ufauru mzur tu vile vile nmesoma cfa za mwombaji nnazo je ntakubalika
 
Acha unafiki mkuu km huna msaada ni bora utulie,ukweli ni kwamba C ya miaka ya nyuma ni sawa na B plane ya big result so kaa ufikiri kabla hujacomment
kukudhibitishia.

so ki BRN jamaa ana BBD hii ni dv3 ya point 11 dah ukimudu competition utachukuliwa
 
Acha unafiki mkuu km huna msaada ni bora utulie,ukweli ni kwamba C ya miaka ya nyuma ni sawa na B plane ya big result so kaa ufikiri kabla hujacomment
kukudhibitishia.

Mkuu namcharua tu huyo jamaa lakin akiconvert na big results 3 itamhusu badala ya 2 alipopata mwanzoni.
 
ndio mkuu unaeza kupata nafasi ya kusoma bvm.... but pia itategemea na wanafunzi wengine waliiomba pia wame score vipi
... ila all in all karibu sua home of excellence
 
hapana mkuu..... kwa kozi zozote chuoni wanachukua waliomaliza form 6.... its better for you now.. ukapitia ngazi ya cheti then diploma afu jaribu kuomba hope utafanikiwa... all da best
 
kuhusiana na land mananagement.... i hope soko la ajira litakuwa pouwa.... ila kwa hapa sua sidhanii kama wanaitoa...ndugu
 
hapana mkuu... huwezi soma bvm ukiwa na hge.. hapa wanahitaji watu wenye physics chemistry biology au geography kwa wale waliosoma cbg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…