Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa swali lolote kuhusianA na sokoine university of agriculture (SUA) kwa wale form six waliomaliza mwaka huu na wanategemea kujiunga na chuo hiki.... tafadhali uliza hapa
...nilimaliza PCB mwaka jana(2013)..na nilscore ECC..(11points)..nataka kusoma BVM hapo SUA...vp naweza kupata?
...nilimaliza PCB mwaka jana(2013)..na nilscore ECC..(11points)..nataka kusoma BVM hapo SUA...vp naweza kupata?
hizi marks zako ukiziconvert kwa big results unakula 4 yako nzuri tu.
hizi marks zako ukiziconvert kwa big results unakula 4 yako nzuri tu.
Naskia architecture hapo ni ngumu kupata nafasi je ni kweli.
. Nimesoma HGE nna ufauru mzur tu vile vile nmesoma cfa za mwombaji nnazo je ntakubalika
hapo swali liko wapi mkuu?
Acha unafiki mkuu km huna msaada ni bora utulie,ukweli ni kwamba C ya miaka ya nyuma ni sawa na B plane ya big result so kaa ufikiri kabla hujacomment
kukudhibitishia.
Swali ni kwamba kwa mtu aliyesoma HGE (history. Geo.eco.bam..) anaweza pata hiyo nafasi endapo amefauru vizur
Acha unafiki mkuu km huna msaada ni bora utulie,ukweli ni kwamba C ya miaka ya nyuma ni sawa na B plane ya big result so kaa ufikiri kabla hujacomment
kukudhibitishia.