shariff99
Member
- Jan 26, 2019
- 13
- 5
Habari wadau nilikua naomba msaada wenu kwa yeyote anaetumia paypal ningependa anisaidie kuyafaham yafuatayo tukiachana na jinsi yakufungua account nilitaka kufaham je inawezekana kutumia paypal kama wallet kwa mfano nafanya kazi n mtu online alafu malipo yangu yawe yanaingia kwenye paypal yangu. na ikiwa inawezekana zikoje process zakutoa pesa paypal kuja kwenye bank account.
Msaada tafadhali kw yeyote yule mwenye ufaham na hili swala.
Ahsante
Msaada tafadhali kw yeyote yule mwenye ufaham na hili swala.
Ahsante