Kwa wanaotumia paypal naomba msaada katika hili

shariff99

Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
13
Reaction score
5
Habari wadau nilikua naomba msaada wenu kwa yeyote anaetumia paypal ningependa anisaidie kuyafaham yafuatayo tukiachana na jinsi yakufungua account nilitaka kufaham je inawezekana kutumia paypal kama wallet kwa mfano nafanya kazi n mtu online alafu malipo yangu yawe yanaingia kwenye paypal yangu. na ikiwa inawezekana zikoje process zakutoa pesa paypal kuja kwenye bank account.

Msaada tafadhali kw yeyote yule mwenye ufaham na hili swala.

Ahsante
 
Wamekuja au bado?
Kwa nijuavyo mimi Paypal sio Wallet ya kupokea pesa, ila ni dalali wa kuhakikisha malipo yanafika kwa mlengwa (muuzaji/mtoa huduma) na kuwa mtoaji (mnunuzi) anapata kitu kwa ubora kutokana na thamani ya pesa aliyolipa au kilivyoelezwa. Unahitaji kuwa na akaunti benki ambayo utaitumia kwa kufanya malipo , na hata kama unafanya kazi na mtu toka sehemu nyingine, anaweza kukulipa kwa akaunti hiyo hiyo.
Au ulikua unamaanisha kuanzisha duka la mtandaoni na kulipwa kimtandao km ilivyo kwenye ebay, amazon na Jumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUmaelezo yako ni sahihi sana mkuu ila nikuulize tena je nawezanikafungua paypal account kwa masta card nyingine n nika droo pesa kwa kadi nyingine pia
 
vodakom wanafanya hivyo kweli
Mara nyingi nimekuwa nalipia vitu mtandaoni kwa M-pesa kupitia paypal. Sasa kama unataka iwe kinyume yaani hela zije kwako maana yake uwe na akaunti ya kutunzia pesa mfano bank au mpesa, ili utu mwingine akikulipa kwa paypal ziingie humo, maana paypal yenyewe huwa sio kama wallet, ni means of transaction
 
yah mm nataka ivyo ila cjajua bank gani zipo conected n paypal
 
Tanzania siyo nchi inayopokea pesa kwa paypal.

Haipo qualified kupokea pesa.

Ila utaweza kuwatumia watu pesa na siyo kupokea.

Last time I checked.
 
Habari wadau nilikua naomba msaada wenu kwa yeyote anaetumia paypal ningependa anisaidie kuyafaham yafuatayo tukiachana na jinsi yakufungua account nilitaka kufaham je inawezekana kutumia paypal kama wallet kwa mfano nafanya kazi n mtu online alafu malipo yangu yawe yanaingia kwenye paypal yangu. na ikiwa inawezekana zikoje process zakutoa pesa paypal kuja kwenye bank account.

Msaada tafadhali kw yeyote yule mwenye ufaham na hili swala.

Ahsante
kwa tz impossible...labda kwa kenya
 
Tanzania siyo nchi inayopokea pesa kwa paypal.

Haipo qualified kupokea pesa.

Ila utaweza kuwatumia watu pesa na siyo kupokea.

Last time I checked.
u r correct mkuu
 
Msaada namna ya kufungua acc PayPal !
Nina mpango wa kununua chombo cha moto nje nataka kupewa elimu zaidi ili niwe na uelewa.

Ahsanteni sana!
 
mkuu bora kuunga paypal na M-pesa. Uwe unatoa pesa huko unaziingiza M-pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hiyo paypal na M-pesa mastercard una ungaje coz mimi nimejaribu mara kadhaa inagoma wanasema paypal inapatakan kwa M-Pesa ya kenya pekee kwa M-pesa ya Tanzania bado.
 
Ulikuwa unataka kuitumia kwa namna gani?
Mfano mimi hata kulipia dstv tu huwa nalipia kwa paypal hela ikiwa Mpesa, kununua bidhaa online napo huwa inakubali kwa sites ambazo zimeruhusu matumizi ya paypal maana sio zote huwa zinakubali.
 
Ingia google, search paypal, kwenye page yao utaona option ya ku-sign up

Back
Top Bottom