Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Mods naomba msipeleke hoja yangu jukwaa la sheria. Kwani hapa napo ni "hoja mchanganyiko" na panafikiwa na wasomaji wengi zaidi.
Issue ni kuwa nimemdhamini bwana mmoja mkopo kutoka benki ya CRDB. Jamaa kakimbia na kaniachia deni. Kwa kuwa kamshahara kangu kanaflow kupitia benk yao jamaa wananikata kila mwezi. Na jamaa niliyemdhamini katoweka hapatikani mjini.
1.Je naweza kumshtaki mjamaa akipatikana? Na ni aina gani ya kesi nitakayomfungulia shtaka?
2. Je benk wako sahihi kunikata mimi deni lao badala ya kupiga mnada vitu vyake alivyoweka kama dhamana?
Naomba ufafanuzi tafadhali.
1. Ulimwekea dhamani katika civil issue. Hivyo utamshitaki katika nature hiyo hiyo.
2. Wako sahihi. Dhamana ni nini? ukipata jawabu hilo, all will be done.
Issue ni kuwa nimemdhamini bwana mmoja mkopo kutoka benki ya CRDB. Jamaa kakimbia na kaniachia deni. Kwa kuwa kamshahara kangu kanaflow kupitia benk yao jamaa wananikata kila mwezi. Na jamaa niliyemdhamini katoweka hapatikani mjini.
1.Je naweza kumshtaki mjamaa akipatikana? Na ni aina gani ya kesi nitakayomfungulia shtaka?
2. Je benk wako sahihi kunikata mimi deni lao badala ya kupiga mnada vitu vyake alivyoweka kama edhamana?
Naomba ufafanuzi tafadhali.
hawako sahihi hata kidogo. sheria yetu ya mikataba iko wazi inaeleza kwamba mdai afidie deni lake kwanza kwa mdaiwa ikiwa ni pamoja na kuuza dhamana za huo mkopo. endapo dhamana haitadischarge huo mkopo ndipo guarantor atawajibika. benk hawako sahihi kukuwajibidha ww kwanza. na cjui km mmewah kukaa na kukubaliana hayo wanayofanya. fanya arrangement za kuhamisha salary account. guarantor anaingia baada ya dhamana ya debtor kutokidhi deni so km debtor ana dhaman walitakiwa waanze na dhamana zake. visit crdb kuwajuze hayo sion basis ya kukulima mshahara wako..