Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Issue ni kuwa nimemdhamini bwana mmoja mkopo kutoka benki ya CRDB. Jamaa kakimbia na kaniachia deni. Kwa kuwa kamshahara kangu kanaflow kupitia benk yao jamaa wananikata kila mwezi. Na jamaa niliyemdhamini katoweka hapatikani mjini.
1.Je naweza kumshtaki mjamaa akipatikana? Na ni aina gani ya kesi nitakayomfungulia shtaka?
2. Je benk wako sahihi kunikata mimi deni lao badala ya kupiga mnada vitu vyake alivyoweka kama dhamana?
Naomba ufafanuzi tafadhali.