hapanaHabari zenu viongozi? mimi ni mzima wa afya.
Hivi kuna malipo yoyote yanatakiwa endapo umeshitakiwa baraza la kata?
maana nimeambiwa nitoe elfu 30,000/= ya nauli.
Naombeni msaada wenu, hili suala limekaaje wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nimeshitakiwa na jirani yangu kuhusu mpaka wangu na yeye, sasa ili waje kukagua ilo eneo la mpaka kati yangu mimi na jirani yangu wamedai natakiwa kutoa tsh elfu 30,000/= kwa ajili ya nauli yakuja eneo husika. Imekaaje hii mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app