Kwa wanasheria naombeni msaada wenu

Kwa wanasheria naombeni msaada wenu

Tareman

Member
Joined
Jun 3, 2019
Posts
53
Reaction score
33
Habari zenu viongozi? mimi ni mzima wa afya.

Hivi kuna malipo yoyote yanatakiwa endapo umeshitakiwa baraza la kata?
maana nimeambiwa nitoe elfu 30,000/= ya nauli.

Naombeni msaada wenu, hili suala limekaaje wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujaeleweka au ni mimi ndo sija elewa

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Yani nimeshitakiwa na jirani yangu kuhusu mpaka wangu na yeye, sasa ili waje kukagua ilo eneo la mpaka kati yangu mimi na jirani yangu wamedai natakiwa kutoa tsh elfu 30,000/= kwa ajili ya nauli yakuja eneo husika. Imekaaje hii mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatakiwa kulipa aliyekushtaki mpk ukionekana unamakosa unarudisha gharama za ukaguzi na zingine za Baraza Sasa ulipeje we wakati umeshtakiwa kesi sio yako aliyekushtaki awajibike mpk ukweli upatikane

Back
Top Bottom