CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
wapendwa wana sheria,
Nasikitika kuwa watu huwa wanaomba msaada wa kisheria kupitia JF, mtakubaliana na mimi kuwa response huwa ni chache na hazitoshelezi. Angalia threads za jukwaa la sheria huwa hakuna comprehensive answers.
Si walaumu, nawaomba mpoteze muda kidogo kuwaelekeza wanaoomba msaada kwenu. Najua ni bussiness lakini mpeni mtu mwanga ili apate pa kuanzia.
Samahani kama nitakuwa nimewakwaza.