Kwa wanasheria waliomo JF

Kwa wanasheria waliomo JF

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
wapendwa wana sheria,
Nasikitika kuwa watu huwa wanaomba msaada wa kisheria kupitia JF, mtakubaliana na mimi kuwa response huwa ni chache na hazitoshelezi. Angalia threads za jukwaa la sheria huwa hakuna comprehensive answers.
Si walaumu, nawaomba mpoteze muda kidogo kuwaelekeza wanaoomba msaada kwenu. Najua ni bussiness lakini mpeni mtu mwanga ili apate pa kuanzia.
Samahani kama nitakuwa nimewakwaza.
 
Noted! Bahati mbaya yetu; watu wazamani wanapoitwa kutoa msaada wakitaaluma ama wakitalaamu bure upenda kusema; tuanfanya hivi kwakuwa tulisomeshwa bure! sisi tuseme nini?! Hata hivyo asante kutukumbusha; tunafanya kwakuwa Mungu ametubariki!
 
A doctor and a lawyer were both at a reception. The lawyer noticed that people were constantly coming over to the doctor. "Why are so many people coming over to you?" asked the lawyer. "It's terrible," sighed the doctor, "ever since I became a doctor I don't have a moments peace, people are constantly coming over to me for medical advice." "I'll tell you what I do," said the lawyer with a sneer , "I send them a bill in the mail." The doctor agreed with the lawyer that this was a good solution. The next day upon mailing the bills he was surprised to see a letter from the lawyer, he was even more surprised when he opened it………….it was a bill!

Angalia isikutokee na wewe
 
Back
Top Bottom