Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

Kama mwanaume atakuwa na dressing table mkewe au dada yake atakuwa na nini?

Dressing wardrobe au?ina maana ndugu mleta mada huo mzigo uliouweka hapo juu wote unaumiliki mzee?na unajiita mwanaume?
 
Wengi dressing table ni kitu kinawasumbua kwa sababu mmezoea madem ndo wanatumia, ukimuuliza jina la sehemu anaweka mafuta ya kujipaka na perfume na mashine ya kunyoa ndevu au vuzi atasema kabati...ng'ombe ww sema dressing table tu...unafungaje tai bila kioo...tatizo ni ushamba. Kuna jamaa analalaga kwenye nyumba za wageni kwa sababu guest house ni za wazinzi,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama kutokuwa dressing table ni ushamba acha tu niwe nao .. vinasaba vyangu haviruhusu kabisa kuwa dressing table.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…