Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Unajipaka rangi mwenyewe halafu wapaka rangi tushinde njaa?Kwa namba 1 naongeza
Jewellery
Make-up powder au/na
Foundation
Lipsticks
Mascara
Nail polish
N. K.
Namba 6
Hiyo nayo why?
Nimejaribu π
xxxxxx
... Kichwa ya uzi imebadilishwa kuwa ilivyo sasa.... ποΈβπ¨οΈ
Basi iwe cologne.. π
Unajipaka rangi mwenyewe halafu wapaka rangi tushinde njaa?
Umesema kwenye dressing table yako kuna nail polish..kwa ajili ya kujipaka mwenyewe? Ukijipaka mwenyewe wapaka rangi hela tutapata wapi? Hapo umenielewa sasa!Sijakuelewa
Umesema kwenye dressing table yako kuna nail polish..kwa ajili ya kujipaka mwenyewe? Ukijipaka mwenyewe wapaka rangi hela tutapata wapi? Hapo umenielewa sasa!
Wakati sisi tunasoma boarding makalio yaliitwa makande. Ukiwa unayapaka mafuta, unawarahisishia wahuni kazi.Tena ukipaka mafuta ni marufuku kupaka kwny makalio.
Mimi huwa sikosi kondom ambayo kila asubuhi huitia mfukoni ilikusudi nikikutana na demu yeyote katika mishe zangu ningonike naye.We wanaku drill kama Longhole , mwanaume rijaalun dressing table ya nini..?
Mimi pembeni kuna ka stuli kadogo chenye
1. Pakti ya embassy
2. Kiberiti cha gesi
3. Mafuta ya ng'ombe (nayo napaka mara moja kwa wiki)
4. Kitana kilikuwepo tena naona siku mbili hizi hakionekani nitakuwa nimekitupa
Umepanick bure mdada! Mimi nimeongea kama utani jikte kupata context toka nimekuquote mara kwanza.. reply yangu haina uhusiano na mtoa mada! Mimi nilitania hapo kwenye suala la nail polish ubaya upo wapi hapo ! Nimefafanua nimekumbia mimi ni mpaka rangi( nafanya kazi ya kupaka akina dada/mama rangi kwenye) kama na hapa hujaelewa tena basi!Hiyo umetunga wewe kichwani... Pokea πππ
Ungesoma alichoandika aliyeanzisha uzi sifikiri kama ungekazania juu ya niliyoandika
Na hapo pia alikuwa na kichwa ya uzi ingine na naamini either mods wanabadili kama kawaida yao au yeye alitaka
Hili jambo lizoeee humu JF yakibadilishwa posts zinazofuata usomeka kutokana na cha mwanzo
Haya rudi kusoma na nimekufundisha kitu ya humu pia
Thank you for this, hawa watu wanaona kunuka jasho ndio ujanjaWatu wachafu wachafu ndio wanashangazwa na hayo. Kwani man kuwa msafi kuna shida gani, mimi kuwa msafi kunaondoaje uanaume wangu
Mezani kwangu hapakosi perfume Club De Nuit, Dove hand oil(hii nakuwa nayo kwenye beg la kazini), serum ya Anua 10+, St. ives shower gel, Afro American, Jergens na skin doctor scrub.
Ishi maisha yako
Shukrani kwa kunifahamisha mkuu ππnahisi ni kikaangio cha chapati,ππ
Mbona kuna mtu ameipost huko juu, ni kama vile inatengeneza nyusi na kope πNimeona kuna tweezer ni nini hichoπ
Tweezer hii hapa dosho12 π
I still repeat... πdah π Mungu nifundishe kunyamaza