Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Dada sisi tupo kigoma mnatusaidiaje
 
Zai tujue kwa kiasi gani udongo umekisaidia. Weka sura yako au mtu yyt alie saidiwa Na udongo nazani itatuhamasisha zaid
 
Zai tujue kwa kiasi gani udongo umekisaidia. Weka sura yako au mtu yyt alie saidiwa Na udongo nazani itatuhamasisha zaid


Ndugu yangu ninakuelewa, lakini si rahisi watu kujitoa sura zao kwenye mitandao ya kijamii na binafsi siwezi kutoa picha za watu hata kwa idhini yao kwenye mitandao ya kijamii labda waziweke wenyewe.

Kama hadi leo hii hujahamasika sijui nikuhamasishe vipi zaidi ya kukuomba uutumie na ujionee mwenyewe.

Karibu sana.
 
Fursa Kwa Wajasiliamali wa JF. Karibu Ujitangaze Kupitia SABA SABA NA PPR Utokee Kwenye TV 5!. - Google Search

Paskali
 
Nimepiga namba ya Airtel kanijibu Hana na yupo Zanzibar, hiyo no ya tigo haipo kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…