Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Kariibu sana, unanunua dozen 3 kwa bei ya mawakala na ukitaka tukusafirishie unalipia gharama za kuusafirisha kwa basi hapo ulipo. Hakuna sharti zaidi na unaweza kuwasiliana nami kwa namba zangu zipo hapo post namba moja.
Nimevutiwa sana. Ubungo naupata sehemu gani?
 
Nimevutiwa sana. Ubungo naupata sehemu gani?

Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack- 0755155782

Jack yupo Kimara Rombo lakini amejitolea kufanya delivery mpaka Mbezi Mwisho na Ubungo.
 
Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack- 0755155782

Jack yupo Kimara Rombo lakini amejitolea kufanya delivery mpaka Mbezi Mwisho na Ubungo.
Nimependa sana sifa zake
Nataka kujaribu
Ntaupataje nipo sinza kijiweni.
 
Nimependa sana sifa zake
Nataka kujaribu
Ntaupataje nipo sinza kijiweni.

Sisi tupo Sinza kwa Remmy, mtaa wa chipukizi (Loliondo Pub) na ule unaokutana na Mtaa mpya uliotiwa lami (unaoenda lion). 0756803528 Mzee Abdul
 
Namna ya kuutumia ni hivyo hivyo iwe unaupaka kichwani au mwilini:

Unachukuwa hii Aunt Zainab's Natural Super Clay kiasi ya kijiko kimoja cha chakula, unachanganya na maji iwe nzito nzito kama ugali laini au uji mzito, unapaka kichwa chote wakati upo nyumbani na ukikauka unaweza kulala nao asubuhi ukaoga kama kawaida. Ukikauka hauchafui nguo wala mashuka ya kitanda.

Tafadhali nipatie ufafanuzi kwenye kotesha nywele, ni baadhi ya maeneo ya kichwa ndiyo hayana nywele, hasa hasa kwa mbele na pembeni pembeni. Je bado nahitaji kupaka dawa kichwa chote hadi kwenye nywele?
 
Nna shida na ngoz yangu...na niko mwanza ntaipataje?
 
Dozen mmoja inauzwa tsh ngapi? na inakuwa na mikebe mingapi?
 
Nitauhitaji ila naomba nianze na sample kwanza je una sample kidogo? Niko Dar.
 
Udongo (100% Natural) wa asili, Zainab's Natural Super Clay, mzuri sana kwa ajili ya kulainisha ngozi ya usoni na mwilini na kufanya ngozi iwe nyororo na ya kupendeza, sasa unapatikana sehemu nyingi.

Udongo huo wa asili ni wa hapa Tanzania, hauna madhara mwilini, umekuwa ukitumika na baadhi ya makabila ya Tanzania kwa miaka na miaka kulinda na kufanya ngozi zao ziwe za kuvutia.

Udongo sasa tumeweza, kuusaga kuwa kama poda na kuuchuja michanga na unaweza kuupaka kiurahisi zaidi kwenye ngozi baada ya kuuchanganya na maji.

Matumizi

Scrubbing, unaweza kujipaka usoni na au mwililini baada ya kuukoroga na maji safi na kuuwacha ukauke mwilini au usoni na kufanya scrubbing kama kawaida.

Masking, unaweza kujipaka usoni au mwilini baada ya kuukoroga na maji safi na ukauacha kama mask na baada kuuosha.

Face Wash, unaweza kuutumia kama face wash badala ya sabuni zenye makemikali, ni mzuri sana unateleza kama sabuni na hauna madhara, unaondoa vipele na rushes za usoni na ngozi iliyokufa, mara ya kwanza tu utaona uso unavyokuwa laini na mvuto.

Body Wash, unaweza kuutumia kama body wash badala ya sabuni zenye makemikali, ni mzuri sana unateleza kama sabuni na hauna madhara, unaondoa vipele na rushes za mwilini na ngozi iliyokufa, mara ya kwanza tu utaona ngozi inavyokuwa laini na mvuto.

Massage, unaweza kutumia kwa kufanyia massage mwilini, udongo ni laini na unatelezza kama sabuni baada ya kuuchanganya na maji safi, faida za kufanyia massage ni utavipata vyote hivyo juu.

Sun Protection, unaweza kuutumia kama sun protection kwa wale wale wanaofanya kazi za juani kwa muda mrefu, unachanganya na maji safi unajipaka na baada ya shughuli zako unanawa tu, inasaidia kulinada ngozi ya ko na jua, vumbi, na kuifanya iwe mororo na yenye nguvu.

Udongo huu ni mzuri sana na huwezi kuusifia zaidi mpaka uutumie.

Wanawake na wanaume wanaojali ngozi zao na muonekano wao wanaweza kutumia udongo huu.

Kwa sasa Aunt Zainabs Natural Super Clay inapatikana mikoa hii, kama upo nje ya mikoa hiyo tunakusafirishia kwa gharama zako za usafiri. Jumatatu tunategemea kuwa utapatikana na Mwanza:

Dar es Salaam

Dar Home Delivery:
Abdul= 0756803528

Ilala / Kariakoo = Raymond Mushi - 0713422069 na Joyce Mchagga - 0719024967.Pemba Street House No 12 Karibu na Msimbazi Police.

Ilala kwa Masai Kimako = Mwanahamisi Saloon 0718775220

Kijitonyama - Vivian Mshomi - Stendi ya Makumbusho - 0757176678 / 078476678 / 071576678 / 0776154933

Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack- 0755155782

Jack yupo Kimara Rombo lakini amejitolea kufanya delivery mpaka Mbezi Mwisho na Ubungo.

Sinza = Aunt Zainab - 0769302206

Tabata = Yusuph Mushi - 0715488669

Zanzibar (Unguja)

Dr. S. Shafi 0754650480

Arusha

Mama Aida -0754445733

Dodoma

Rukia - 0653249898


Lindi

Nuru - 0717461575

Mbeya

Haule - 0756994850 na 0784658349

Mwanza

Petty - 0763772636

Morogoro

Lina Mafwere - 0754297319 Boma Road.

Tanga

Farouq - 0719190000

Bei za wasambazaji zitatofautiana na bei zetu za promotion kwa sasa, kwani kuna gharama wanazoingia za usafirishaji na faida yao.

Kwa maelezo yoyote ya ziada wasiliana na Aunt Zainab 0769302206 au babu Abdul 0756803528

Update: 08-04-2015

Bei za Promotion zimekwisha rasmi 31-03-2015 kwa sasa bei zetu hazitotifautiana na Mawakala, Recommended Retail Price ni 3,500 kwa paketi moja (reja reja).

Dada kwa temeke nitakupata wapi? pia ungetoa maelekezo mazuri jinsi gani ya kutumia means unapaka unakaa kwa muda then unaosha,au baada ya hapo unaweza paka mafuta yoyote na pia ni vipi unakua,je walioungua na cream inawafaa?
 
Dada kwa temeke nitakupata wapi? pia ungetoa maelekezo mazuri jinsi gani ya kutumia means unapaka unakaa kwa muda then unaosha,au baada ya hapo unaweza paka mafuta yoyote na pia ni vipi unakua,je walioungua na cream inawafaa?

babake nasreen

Matumizi yake ni, unauchanganya na maji safu na kuufanya mzito kama ugali laini, au kama hinna nzito kisha unaupaka ama kichwani ama usoni ama mwilini na unauacha mpaka ukauke ndiyo unanawa au kukoga.

Temeke jaribu namba hii 0719342301 au piga kwa wakala wetu atakuelekeza zaidi 0773055144
 
Jaman karibun kwa wale wa MWANZA wanaohitaji Udongo tuwasiliane kwa 0763772636 karibun sana
 
babake nasreen

Matumizi yake ni, unauchanganya na maji safu na kuufanya mzito kama ugali laini, au kama hinna nzito kisha unaupaka ama kichwani ama usoni ama mwilini na unauacha mpaka ukauke ndiyo unanawa au kukoga.

Temeke jaribu namba hii 0719342301 au piga kwa wakala wetu atakuelekeza zaidi 0773055144
Hahaha...ila we kiɓoko, kuotesha vipara umeshindwa sasa hivi unasoftisha ngozi..hatari.
 
Leo baada au kesho nitaweka namba za wakala wa kariakoo, utawasiliana nae kama ataweza kufanya delivery.

Ujaribu nina uhakika utafurahika nao, unaanza kuuona uzuri wake mara ya kwanza tu unapoanza kuutumia. Wateja wetu wote wote wanausifia na sasa wanaurudia na kuchukuwa kwa wingi.

Asante sana.
Ninavyofahamu kitu asili huwa kinatoa matokeo baada ya Muda mrefu, inakuaje huo udongo asili utoe matokeo kwa siku ya kwanza ya matumizi?
 
Back
Top Bottom