Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Bukoba nitaopata je?

Kwa karibu zaidi unaweza kuwasiliana na wakala wa Mwanza akakutumia au wasiliana nasi Dar tutakutumia kwa bus za kuja huko. Gharama za usafiri ni juu yako.

Namba za kuwasiliana nasi zipo hapo juu posti namba moja za Dar na Mwanza.
 
Wee mchokozi kumbe. Umeshautumia huu udongo? ni wa ajabu sana.
Aunt Zainab, mimi ni wale wanaume wa bara, hata mafuta tuu kupaka usoni sipakagi, zaidi ya kunawa na kuoga basi, ila nitamshauri mamie mwali kuhusu huo udogo, ili autumie, ila japo mimi sio mwana sayansi, ila kwa kumbukumbu yangu, udogo pia una kemikali, ila nyingi ni non reactive chemicals ambazo zimeishakuwa broken down kutoleta madhara, ila udongo zote ni aither acidic or alkalinity zinazofanya kazi ya antibiotic, watu wa kwanza kabisa kugundua matumizi ya udogo kwenye kuhifadhi miili ni wa Misri wakifuatiwa na wa China kisha wakaja wa Hindu. Walikuwa wakijiloweka kwenye tope, kutumia udogo kujirembesha, na kuhifadhia miili.

Tanzania watumiaji wa mwanzo wa udogo ni kabila la Wamasai mpaka kesho, huwezi kukuta mwanamke wa Kimasai ana pimples, wote wako soft!.

Chukua sample ya udongo wako, ipeleke pale kwa Mkemia Mkuu, ili uandikiwe chemical formular ya udongo wako, ukiishaipata hiyo formular, nenda nayo Brella ukaisajili, upate kitu kinachoitwa "patent right" ili kuusajili huo udongo kuwa wewe ndio mvumbuzi, ili hata ukigundulika mahali pengine popote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wewe unalipwa kitu kinachoitwa "royalities" kwa sababu utakuwa umeusajili, vinginevyo watatokea watu, watautafuta unapoutoa, watausajili wao, na wewe ndio kuja kuishia kulipishwa, tena wao watajenga kiwanda, kuufanyia branding na packaging na ku export, huku mgunduzi ukibaki mikono mitupu!.

Huu ni wakati wa Watanzania kulinda haki zetu za ugunduzi.

Pasco
 
Asante sana, nashukuru kwa ushauri wako mwema. Hivi sasa upo kwa Mkemia Mkuu tunangoja majibu na hayo mengine nitayafanya kama ulivyonishauri.

Na nashukuru ulivyouchambua kitaalamu kabisa.

Unaweza kuutumia hata wewe, wacha kuwa wakizamani bwana.

Muambie tu madame atutafute.

Asante.
 
Hongera, hilo la mimi kuutumia lataka moyo!, sisi wa kizamani tunaamini ngozi nzuri ni za kina mama, hata hizi saloon zetu, kila nikienda, nawaona wanaume wanafanya scrub, manicure na padicure, kiukweli mimi bado sijaweza!. Madame nitamleta!.

Pasco
 
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Du!, kiukweli kisicho razki hakiliki!. Hata hivyo kwa vile ulianzia kuutumia ule wa Canada, then compare and contrast, ukiona vipi, unaweza kunituma mimi nikakufuatia ule wa kule kukuletea, maana nami nina nyumba kule!, tatizo la kule, mkienda kama familia, unakuwa kama umewapelekea mwenzi wako, utajikuta unajirudia peke yako, hivyo mimi nimeacha nyumba kabisa, nasubiri tuu kutumwa nikakufuatie ile liwa ya kule!.

Bangi za asubuhi mbaya sana.
 
Bangi za asubuhi mbaya sana.
Ni kweli, kule kwetu tunapuliza saa 11:00 alfajiri zikifuatiwa na mlima wa ugali maharage, baada ya hapo kuanzia 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana mtu amekata heka kwa jembe la mkono!.

Hivyo kuipuliza kwa kunuizia jambo, pia ni halali na ndio haswa matumizi halali ya hii kitu, ukinuiza kulima, unalima kweli kweli, na ndio maana niliwahi kushauri humu kuwa hii kitu ihalalishwe!.
[h=3]Moral Question: Morphine (drug) iruhusiwe kupunguza maumivu
[/h]
Jesuit, headline yako ni nzuri ila content umechanganya kidogo mambo.
Nianze na hoja yako ya msingi, mophine inatumika sana tuu mahospitalini na kuna wagonjwa wanakuwa prescribed bila kuambiwa ni mophine kwa vile inakuja kwenye dose tofauti na majina tofauti. Matumizi hayo mahosipitalini yanafanyiwa control under close supervision kwa vile mophine ina side effects mbili kuu.

1. Ni highly addictive, hivyo mwili ukishaizoea, hauwezi kufanya chochote bila hiyo kitu. Addiction tatizo lake ni dose kukuzoea hivyo lazima dose iongezwe kila baada ya muda ili kuendelea kuwa effective, hatimaye you can take no more na kuishia kuzimika jumla.
2. Ina slow down nervous system mpaka kufikia stage ya kuiparalyse kabisa. Hivyo matumizi yake yamekuwa restricted kwa mgonjwa ambaye imethibitishwa huyo ni mtu wa 'safari' tuu. Kwa mgonjwa mwenye chances za survival na kuishi, madaktari, wanaona bora ateseke kwa maumivu lakini hatimaye atapona kuliko kumpunguzia maumivu kwa kumuanzishia safari ya 'kimoja', 'jumla'.

Pia majeshi yote duniani kote huitumia miongoni mwa vifaa vita vyake kwa majeruhi wao likiwepo jeshi letu.

Tukija kwenye medical marijuana, nchi nyingi tuu inaruhusiwa, tena sio medical tuu, hata relaxation, au recreational. Nchini Usiwisi, kila mji umetenga eneo maalum la kujinafasi kwa starehe hizo ikiwemo uvutaji wa bangi na matumizi ya kila aina ya dawa za kulevya. Kwa jiji la Zurich, ni eneo la wazi lililoko mbele ya jengo la bunge la nchi hiyo 'The Bundes House'. Hii inasaidia hata kufanya biashara ya mihadarati sio deal nchini Uswisi, ila uhuru huo ni kwa viwango vya personal use sio kibiashara.

Hapa nchini pia matumizi ya bangi kwa viwango maalum yanaruhusiwa japo sio kisheria. Ukikutwa na msokoto mmoja tuu wa bangi, hafikishwi mahakamani, kosa ni ama kukutwa unavuta kwenye public, ama kukutwa na msokoto zaidi ya mmoja kama kiashiria cha kufanya biashara hiyo haramu.

Mimi nimesoma Tambaza, baadhi ya wanafunzi tulikuwa nao tukitinga 'summit' kupata', wako waliotoka na Div 1 kali na wako waliotoka na zero. Nakumbuka kuna lecture mmoja wa UDSM toka Jamaica, alikuwa anaipiga hiyo kitu wazi wazi, akaripotiwa polisi na kufikishwa mahakamani, akajitetea kwake ni kawaida toka nchini kwake, na kusisitiza bila kupata, lecture haipandi. Aliachiwa na kuelezwa kwa vile hapa nchini ni bangi ni marufuku, basi ajivutie nyumbani kwake privately na sio public na ndivyo wengi wanaitumia kwa nia njema wanavyofanya. Sisi kwetu Usukumani hiyo ni normal power booster ndio maana alifajiri tuu, ugali wa nguvu unapanda kama kifungua kinywa!.

Ugumu wa ku legalize marijuana ni kwa vile huwezi kutenganisha wale inaowatuma vizuri na wale inawatuma vibaya. Kungekuwa na vigezo vya nani itamtuma vizuri, nadhani ingekuwa legal kwa inaowatuma vizuri na illegal kwa inaowatuma vibaya bila kuonekana ni double standards.
Na kwa wengine hii ni mboga tuu!.
Pasco
 
Ni kweli, kule kwetu tunapuliza saa 11:00 alfajiri zikifuatiwa na mlima wa ugali maharage, baada ya hapo kuanzia 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana mtu amekata heka kwa jembe la mkono!.

Hivyo kuipuliza kwa kunuizia jambo, pia ni halali na ndio haswa matumizi halali ya hii kitu, ukinuiza kulima, unalima kweli kweli, na ndio maana niliwahi kushauri humu kuwa hii kitu ihalalishwe!.
Moral Question: Morphine (drug) iruhusiwe kupunguza maumivu

Na kwa wengine hii ni mboga tuu!.
Pasco

Wewe na huyo Bi Faiza mimi siwaingilii hata kidogo. Tena umenikumbusha, yeye nae nimesoma humu anasema anatumia bangi kwenye udi wake, ngoja akija Jumapili nitamuuliza kuhusu hilo. Nunueni udongo basi mnipige taf.

Matumizi mengine ya udongo:

Of all things, did you ever think that I would tell you to go eat some dirt?
Well, mark your calendars. Today's the day. Stephanie has officially gone off the deep end.
Bizarre as it may sound, clay has actually become one of my favorite go-to remedies for health and healing over this past year. This summer I have been surprised to find myself reaching for clay more and more frequently, as I realize just how useful this "dirt" can be.
Mind you, this isn't just any old clay that you can shovel up somewhere. The clay I'm referring to isbentonite clay, and it comes from pure sources of undisturbed deposits in the ground. What is special about bentonite clay is that it has two ways of drawing toxins out of the body.
I'm going to get very practical in a moment, sharing exactly how I've been using clay in our home, but first I think it's helpful to understand just a little bit of the science behind how and why clay works.
[h=3]1. Adsorption[/h]This isn't a typo. The word is aD-sorption, not aB-sorption. They are two different things (more about absorption in a minute). Although I understand this concept, I'm not much of a scientist, so I'm going to borrow this helpful explanation of what adsorption is and how it relates to clay:
At a molecular level, the formation of bentonite resembles tiny business card shapes with the wide surfaces having a negative charge and the thin edges having a positive charge. Nature hates a lonely ionic bond, so each negatively charged ion seeks to satisfy its bond by pairing with a substance carrying a positive ionic charge. As luck would have it, many toxins, heavy metals, and free radicals carry a positive charge. The negative ions in Redmond Clay are eager to attach to these toxins, swapping negative ions for positive, and creating a bond that keeps the toxin and clay together in suspension until the body eliminates the pair together.
If you're a visual thinker, it's a reasonably accurate metaphor to imagine Redmond Clay as a magnet, and toxins as little bits of metal. Once the two become paired, it's simple for your body to dispose of the magnet, and the metal bits along with it. (source)
Who knew, right? Amazing!
[h=3]2. Absorption[/h]This is the word we're more familiar with, and of course, it's natural to think of how a sponge absorbs water. Clay does essentially the same thing, absorbing not only water, but also other harmful substances like toxins, infection, etc.
Due to its capacity for absorbing, you need to avoid using clay internally at the same time as other medications or supplements, because it can interfere with their use by (what else?) absorbing them. It's best used alone.
Additionally, clay has one more thing going for it when it comes to natural healing…
[h=3]3. pH[/h]We all know that pH is a measure of acidity, and with a pH of around 8.7-9.8 (at least, this is the pH of Redmond clay, it would vary slightly from clay to clay), that makes it on the alkaline side.
Alkalinity is a useful thing, because many health problems in the body arise due to acidity, and clay is able to neutralize that acidity. This is particularly helpful for ailments like heartburn, because the clay can neutralize the excess stomach acid that is causing the discomfort.
Phew… now that we understand the basics of how clay functions, allow me to share some practicaul uses for it.

[h=3]8 Ways That Our Family Uses Clay as a Natural Remedy[/h][h=4]Insect stings and bites[/h]I discovered firsthand this summer that a bit of hydrated clay on a mosquito bite helps to relieve the itching and swelling quickly.
We also found out last winter that it helps with spider bites. My husband noticed a fairly large spider living in the light on our deck. He took a long stick and tried to knock the spider out. The spider dropped itself down on its thread and I wish I had filmed this little man vs. spider duel! They literally lunged at each other back and forth until my husband succeeded in knocking it out of the light, but not before the spider gave him a good bite on the arm. It didn't appear to be a particularly poisonous spider, but nonetheless, the bites do hurt and it was swelling up. We slathered the bite in clay and within a short period of time, the pain had subsided and the swelling went down.
On the subject of stings and bites, a product that has proved SO useful to me this summer are thetubes of hydrated clay from Redmond. When I first saw them I thought "why don't I just mix it up myself? It's only powder and water." And I can do that, and yes, it's pretty easy. But squeezing it straight from a tube when I need it quickly is just so darn easy, I find myself using clay more frequently as a result.

Clay As a Natural Home Remedy (Yes, Really) - Keeper of the Home
 
How is Montmorillonite Clay Used Externally in the Normal Old Home-Remedies?

The Montmorillonite Clay has a consistency of mustard and is ready to eat or it can be mixed in water. Old-Timers would apply the gel/paste directly to the skin for a drawing-effect as in the case of a bee sting, mosquito bite, boil, spider bite, stinging nettle, etc. If the clay is not covered it will dry out; and, as it dries you will feel it draw and pull. If you want a tightening-effect as in the case of a facial for acne, pimples, or minor cuts leave it on until it is almost, but not totally dry. Then remove with a warm wet washcloth and, splash with warm water to remove all traces of the clay. If you want an even more 'cooling and soothing effect' such as for burns or scrapes and bruises; cover the gel with a plastic covering or wet cloth so that it won't dry out. If users were not sure which technique would suit their needs best they often alternated between covered and uncovered applications of the clay. Montmorillonite Clay has been applied once or twice daily or even left in place overnight, as desired.Other external uses for the Montmorillonite Clay have been as a fine talcum powder or a diapering powder.

Source:
http://www.phmiracleliving.com/Articles/2006-10-27-Clay.html
 
Sasa Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe: Unatokwa na Nywele? Una Kipara? Jionee maajabu ya...'
 
Zainab Tamim Naomba tuwasiliane unitumie kidogo, halafu nianze biashara hiyo niko mwanza
 
Last edited by a moderator:
Zainab Tamim Naomba tuwasiliane unitumie kidogo, halafu nianze biashara hiyo niko mwanza

Tunaweza kufanya biashara tena nzuri tu hapo Mwanza, watu wanauulizia sana.

Kuna mtu anao kiasi hapo Mwanza unaweza kuwasiliana nae, Mama Alex / Bonge: 0768545736 na 0765072213

Na kama umemuishia kwa karibu hapo upo Shinyanga unaweza kuwasiliana nao wakakutumia Bi Fatina 0713431522
 
Sasa tumehakikisha tiba yetu hii pia inasaidia sana wenye matatizo ya bawasiri (hemorrhoid).
 
nipo dar mabibo ni wapi nitaupata kwa urahisi na kwa gharama gani?!
 
Back
Top Bottom