halati88
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 461
- 146
Dar Es Sallam tumepata mjasiriamali na muuzaji mpya wa Aunt Zainab's Natural Super Clay ambae ameahidi home delivery kwa watakao hitaji jijini Dar.
Mnaweza kuwasiliana nae:
Yakoub = 0655798139
Home delivery rates zitakuwa tofauti na ukifata mwenyewe kwani kuna gharama za usafiri na muda.
Asanteni
Zainab
Huyu kasema nikiufata mwenyew ni sh 7000 na akiniletea ni elfu 8000, je sio kubwa?
