Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeniitia nini? umbea wenu? nipisheni huko. Kama hamna cha maana kalaleni.
Zainab, Saturday nnakuja Sinza, usinikimbie tena kama hautakuwepo nambie kabisa.
Tena komeni kuniiita ita bila mpango.
Tumekumiss huku bibi wewe ndio tumekuita. Hupendeki?
Njoo tu, uje na pesa cash udongo sikopeshi.
Bi Zainab, jana nimeupata huo udongo wako na nimeanza kuutumia, yah ni ule ule kama niliowahi kununuwa Canada, ni mzuri kweli. Dah Ahsante sana.
Na lile jukwaa la MMU kweli ni rusha roho, lakini usijali hawa wana MMU wengi wanajipenda. Ngoja nikakupigie debe waje kukusoma huku, kama kunshambulia wanshambulie mimi, maana wale kule utafikiri wamewekewa mizizi hawatembei kwingine.
Kumbe ndiyo maana unasambaza vilink vyako huko MMU?
Mimi nitafanya utafiti wa kiafya kuhusu madhara ya huo udongo.....
Ukikuletea side effects usisite kunipa hayo madhara niingize kwenye data.
Maneno tu yanakutekenya?Wewe fanya utafiti uupendao, ukitaka kujuwa mtu anaeutumia kwa wingi ni mimi hapa, wala usiwe na wasi wasi nipo.
Tena kama unataka kuununuwa wa kwenda kuufanyia utafiti wewe sema tu, Bi Zainab Tamim yupo kwa ajili yetu na anuani zake zote zipo wazi post #1 .
Unanchekesha.
Maneno tu yanakutekenya?
Ok ningependa kujua kweli hivyo vyote ubora wake na kama unaweza kuwa na madhara huko mbeleni...... Naomba picha yako au Nipe appointment nije kuiona ngozi yako.
Kwa Zainab nitaenda kuchukua dozen ya hiyo product kwaajili ya majaribio kwenye ngozi.
Maneno tu yanakutekenya?
Ok ningependa kujua kweli hivyo vyote ubora wake na kama unaweza kuwa na madhara huko mbeleni...... Naomba picha yako au Nipe appointment nije kuiona ngozi yako.
Kwa Zainab nitaenda kuchukua dozen ya hiyo product kwaajili ya majaribio kwenye ngozi.
Kumbe ndiyo maana unasambaza vilink vyako huko MMU?
Mimi nitafanya utafiti wa kiafya kuhusu madhara ya huo udongo.....
Ukikuletea side effects usisite kunipa hayo madhara niingize kwenye data.
Mmeni-miss wakati umeniachisha mambo yote ya kubishana na mapunguani wa JF kuja kukuandikia feedback halafu ukapotea bila kuaga! leo unajidai umeni miss? unanchekesha!
Ewee, mbona unapenda sana cash kama mchagga? una asili ya Kichagga nini? ni lini nilikukopa hata leo iwe mara ya pili.
Yule binti wa Tanga nlokwambia kakupigia? nilimpa namba yako, mie nimekupigia weee hupatikani, hebu hiyo simu ivae shingoni.
cc lara 1
Huyu jamaa yenu nini?
Asakuta Same,
Itakuwa ni vizuri sana ukitusaidia katika huo utafiti na pia kujiridhisha binafsi yako na watumiaji wengine pia. Sisi tumeupeleka kwa Mkemia Mkuu na tunangoja majibu ya kina.
Na hivi tunangoja branding, packing, logo na mambo mengine madogo madogo ya kisheria na kikanuni ili tupeleke TFDA.
Mpaka sasa hatujaona madhara yake na huko tunakoutowa wenyeji wamekuwa wakiutumia kwa miaka mingi sana na unawasaidia sana kufanya ngozi zao ziwe za kuvutia.
Wengi wa wateja wetu waliokwisha utumia wanatuambia umewasaidia sana.
Tafadhali usisite kuja kuuchukua kutusaidia kwa utafiti, kuna watu wa University of Dar Es Salaam pia last week wameuchukua kwa utafiti wao binafsi na wameniambia watanijulisha matokeo baada ya wiki nne.
Ahsante
Zainab
Niunganishe nao tu, cha muhimu ni mustakabali wa afya ya kila Mtanzania.
Niunganishe nao tu, cha muhimu ni mustakabali wa afya ya kila Mtanzania.
Hujui Babu Abdul kuwa anaitwa Abdul Mushi?