Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauhitaji kuwa profesa kufahamu kuwa hii ni biashara ya faizafoxy......
Kubali au kataa lakini wewe ni faizafoxy, isitoshe kuwa faizafoxy si kosa wala tusi ila ukweli ndio huo.Bi Faiza amekuwa msaada mkubwa kwenye hii biashara, hapana hii si biashara yake bali ana moyo mkunjufu wakujitolea na ameahidi atanisaidia kwa hali na mali kwenye huu udongo.
Hilo ninamshukuru sana yeye na wengi wengineo wanaonipa msaada kwenye hili kila siku.
Bi Faiza amekuwa msaada mkubwa kwenye hii biashara, hapana hii si biashara yake bali ana moyo mkunjufu wakujitolea na ameahidi atanisaidia kwa hali na mali kwenye huu udongo.
Hilo ninamshukuru sana yeye na wengi wengineo wanaonipa msaada kwenye hili kila siku.
Hauna nidhamu ya biashara wewe, kuna siku nimekwambia nipo mlimani city nakuja hapo kwa remy ukasema poa. Nimefunga safari kufika kwa remy haupatikani kwenye simu, uliizima kabisa hata sikukuelewa ni kwanini ulifanya hivyo na ndipo nikaanza kuhisi yawezekana wewe ukawa ni tapeli ambaye hauna uzoefu
Kubali au kataa lakini wewe ni faizafoxy, isitoshe kuwa faizafoxy si kosa wala tusi ila ukweli ndio huo.
wachezee wageni hapa jf lakini wenyeji tushakujua?Zainab usimjibu chochote huyo, mwache abwabwaje na kuhororoja apendavyo.
Hauna nidhamu ya biashara wewe, kuna siku nimekwambia nipo mlimani city nakuja hapo kwa remy ukasema poa. Nimefunga safari kufika kwa remy haupatikani kwenye simu, uliizima kabisa hata sikukuelewa ni kwanini ulifanya hivyo na ndipo nikaanza kuhisi yawezekana wewe ukawa ni tapeli ambaye hauna uzoefu
Zainab usimjibu chochote huyo, mwache abwabwaje na kuhororoja apendavyo.
Utafiti wangu utategemea zaidi taarifa za watumiaji wako.
Jumamosi nitakuja hapo kwa remmy ili nipate fursa ya kuchukua bidhaa na kumuona huyo bibie faiza.
Iringa
Maganga - 0756900200, hii namba ya wakala wa iringa mbona haipokelewi na hata nikituma sms haijibiwi.
Kwa wale wa kinondoni unapatikana wapi?
Zainab mie nipo kimara mzigo bado nnao