The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Boss kamata huu usikilize lol!!! Huu hata Gaijin atakuwa anaujua vionjo vyake halafu Nyani Ngabu kwenye huu wimbo atakuwa kafika hapadedication kwa NN na The Finest....
ukizaliwa mwanaume-msondo ngoma
Si unaona sasa ushaanza kuchakachua hata kabla sijasemaKaka wala sitasema kuhusiana na ile nyumba ndogo uliyoinunulia nyumba
Nyumba kubwa smart sana lol
amegundua tupo mchanganyiko humu...
wavulana na wanaume lol
Boss si unajua JF haina age limit.
Mambo si hayo bwana! Dedication kutoka nyumbani...........:]
Mie leo nimetoa dedication nyimbo za msondo na kidumbak
Ananiliwaza mawazo…
Mawazo ya kutwa nzima…
Na nikiwa na tatizo…
Hunionea huruma…
Ananipumbaza napuumbaziikaah..
Ananibembeza nabembeezeekaah…
Ananichekesha nacheekesheekaah…
Na kunituliza natuliiziikaah…
Aah raha najilia tu….
Ninajinenepea tu…
Kwa utulivu, kwa utulivu sisemi…
Hatoki, hatoki bila kunambia…
Haali, hali bila kula nami…
Hakimshuki, shuu shuu shuki hunambia….
Hapo karibia ndo pananoga na kinanda cha Jumanne Ulaya, mtoto wa Mwanza, aka vidole vya biashara!
Yaani vinanda vikikolea pale we acha tu! ........
Boss kamata huu usikilize lol!!! Huu hata Gaijin atakuwa anaujua vionjo vyake halafu Nyani Ngabu kwenye huu wimbo atakuwa kafika hapa
Mzee Yusuf & Jahazi Modern Taarab - Nehi Bollo Kush Nehi - YouTube
Nawatakia week end njema kwa ujumbe ufuatao:
Bryan Adams - Have You Ever Really Loved A Woman - YouTube
Hapo karibia ndo pananoga na kinanda cha Jumanne Ulaya, mtoto wa Mwanza, aka vidole vya biashara!
Yaani vinanda vikikolea pale we acha tu! ........
Nyie watu hapo juu mmenichekesha sanaKumbe na wewe unapendaga ikifikia hapo eeh? Basi mimi hapo ndo huwaga naenda sayari ingine kabisa!
Gaijin si unajua yaani all weatherThe Finest sikujua kama na wewe uko huku! .......umenikosha sana
Kumbe na wewe unapendaga ikifikia hapo eeh? Basi mimi hapo ndo huwaga naenda sayari ingine kabisa!
Asante Nyumba Kubwa.... Wanastahili kukumbushwa hawa watu.....lol
Wewe na nyumba kubwa hebu burudikeni na huuAsante Nyumba Kubwa.... Wanastahili kukumbushwa hawa watu.....lol
Umegundua eeh. Yaani utakuta mtu toka amwambie mkewe anampenda wakati ana propose hajarudia tena. Ushaona mwanamke anakuja kazini uso umechanua; basi jua jamaa kamwambia she is the one.
Mwanamke anarogeka kirahisi saana; sweet words.
Nyie watu hapo juu mmenichekesha sana
Umegundua eeh. Yaani utakuta mtu toka amwambie mkewe anampenda wakati ana propose hajarudia tena. Ushaona mwanamke anakuja kazini uso umechanua; basi jua jamaa kamwambia she is the one.
Mwanamke anarogeka kirahisi saana; sweet words.