Kwa wanaume na wavulana - Tell her that she is the one

Kwa wanaume na wavulana - Tell her that she is the one

halafu nilikwambia nitafutie jina la huu wimbo na alieimba...mpaka leo kimya...

tulia mpenzi,tulia mpenzi
tulia mpenzi nipate tulia....
salha sudi wewe ndo kipenzi changu..
tulia mpenzi tulia mpenzi
tulia mpenzi nipate tulia.....

nimewahi kumuona SAL DAVIS akiuurudia sijui kama yeye ndie alieimba
Boss, Nyumba Kubwa, AshaDii na Gaijin huku vipi mnapatikana pia au network zenu hazishiki

Associé (Fally Ipupa) - YouTube
 
Duh! Boss hii nyimbo kwa kweli siijui.....doesn't ring a bell hata chembe. Usije kuwa umechanganya labda ya enzi za Siti Binti Saad huko! lol

but SAL DAVIS unamjua sio?
 
Huyo si anaimba Jazz flani au ......maana inaweza ikawa ilikuwa nyimbo ya Jazz ya zamani

SAL DAVIS hata 'sabalkheri mpenzi' alihaiimba pia..jazz ndio but na huku yupo kidogo
 
SAL DAVIS hata 'sabalkheri mpenzi' alihaiimba pia..jazz ndio but na huku yupo kidogo

Ahhh okay .......nna hamu kama ningeisikia hiyo sabalkheir mpenzi yake .......maana ana lisauti la haja :]
 
The Finest
wadada wanavyompenda Fally
ukiweza cheza kama yeye....
wata lete wao posa aisee lol
Hahaha!!! Boss wadada huwa wanapenda jinsi Fally anavyokata mauno yake, sasa huku sisi ukianza kukata mauno watu wanakutengenezea picha nyingine lol!!
 
lol Ashadii hata kama magumashi:ballchain:niwekee basi kile kibao chetu niburudike weekend switiiiiiiii.

Chauro Mpenzi hebu check Finest aliboniwahi (atakua na agenda zake huyu... Khaa!)



Khaaa!!! PA Umelenga hapo nini??? lol
 
Back
Top Bottom