Kwa wanaume na wavulana - Tell her that she is the one

Kwa wanaume na wavulana - Tell her that she is the one

Hiyo miziki si kwamba siipendi; I even dance nikiwa home BUT can't dedicate to anyone kwani inaongelea third parties na si wapendanao.
Ndo maana when it comes to love naona wenzetu wazungu wametuzidi katika kutengeneza mistari.

Kweli NK!
Upande huo wenzetu wanaonyesha ni kazi, nyimbo imeandikwa hadi ukipewa tabaruku (dedication) unaweza kubadili mawazo.
Ila hii ngoma uliyotupa kibarua cha kuwaimbia mabibi zetu umenikumbusha mbali sana
 
Hahaha!!! Joune mauno yana apply sehemu zingine bana lol,

Anhaa basi nimekusoma kaka ila inabidi ujitume tu kwenye hadhira unakata sana hadi unang'ata kidole kama Hallus Mabere Loketo hahahaha hapo utamfunika hata Fally lol
 
Nyani Ngabu

Kisha kuna bonge la songo la Kopa sijui linavyoitwa lakini it goes like this

"na kwa nini nisideke nami nadea changu
na kwa nini nisideke nami nadekezwa "

Unaijua?
 
Hivi anajishughulisha na nini huyo Mboni? What's her claim to fame?

NN unaweza usiamini but huyu
umaarufu wake ni kutembea na Samuel Etoo alipokuja tz
akapigwa picha wako pamoja mitaani usiku,magazetini
na kujirahisisha kwa fally ipupu siku ya concert
na sasa na yeye ni star,best wake Mange kimambi..
 
Back
Top Bottom