The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
NN mujini hapa acha tu ila huwa naona duka lake la nguo na viatu vya kiume liko Mikocheni karibia na Petrol Station ya BPHivi anajishughulisha na nini huyo Mboni? What's her claim to fame?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NN mujini hapa acha tu ila huwa naona duka lake la nguo na viatu vya kiume liko Mikocheni karibia na Petrol Station ya BPHivi anajishughulisha na nini huyo Mboni? What's her claim to fame?
Hiyo miziki si kwamba siipendi; I even dance nikiwa home BUT can't dedicate to anyone kwani inaongelea third parties na si wapendanao.
Ndo maana when it comes to love naona wenzetu wazungu wametuzidi katika kutengeneza mistari.
Teeeeeeeeena!
NN mujini hapa acha tu ila huwa naona duka lake la nguo na viatu vya kiume liko Mikocheni karibia na Petrol Station ya BP
Boss, Nyumba Kubwa, AshaDii na Gaijin huku vipi mnapatikana pia au network zenu hazishiki
Associé (Fally Ipupa) - YouTube
Malizia basi na hizi mbiliswitiii ameusuza mtima wangu naona haka kauchawi kanafanya kazi bwana, nimeduwa namsikiliza Shai-conforter weka basi na zile za kwetu.
Chauro taratibu Mpenzi... familia ya hao jamaa ni "heart Breakers" lol
Hahaha!!! Joune mauno yana apply sehemu zingine bana lol,
Aisee Arifu hivi unamjua Joan, huyu Boss lazima atakuwa anamjua tu sababu ni rafiki yake MboniOoh kumbe ni mjasiriamali...
Hivi anajishughulisha na nini huyo Mboni? What's her claim to fame?
Inahusu..........Associe nangai..............
Nafanyaje mpenzi navopenda bembelezwa ndo kashaniteka mwenzio...............toa mbinu za kumchomoa basi
How i wish if there was one to tell her
Shhhh!!!! Don't say a wordNafanyaje mpenzi navopenda bembelezwa ndo kashaniteka mwenzio...............toa mbinu za kumchomoa basi
Jesse Powell - YouTubeFinest muonee huruma mwenzio !!!!!!!!!.....................
Lol!! Shalis yule si alipenda post zangu tu, au ni wewe lolaahha we huwataki tu mbona kuna mdada alisha jitangaza hapa kuwa anakupenda wewe ukawa unakwepa
lol ...
That is too fast.... Heee!!
Tatizo ni moja.... Ukijichomeka kujichomoa kazi ipo... kua tu makini....
Hivi kuna msemo huwa unasema the earlier the better lol!!!That is too fast.... Heee!!
Tatizo ni moja.... Ukijichomeka kujichomoa kazi ipo... kua tu makini....
Ashadii nimeshashtukia ngoja nijichomoe fasta.