Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilichokuleta huku kwenye sredi ya wakanamizaji ni nini?
Hata wewe nikiangalia mdomo wako najua kikojoleo chako kina dayameta gani....:A S 8:
Wakuu nimepokea PM kutoka kwa mshikaji anaulizia kwa wazoefu hivi mwanaume akikaa miaka kama kumi bila kufanya tendo, jembe lake litakuwa kubwa ama litapungua?
mi nashauri hebu jaribu kukaa hiyo miaka kumi uone itakuaje halafu uwape wanaume wenzio majibu yaliyo na uhakika maana majibu utakayopata hapa yote ni assumption,fanaya practically,sory nimewajibia wanaume though am girl ila nadhani mchango wangu ni productive
Pole ole Nyama bint Yao!
Baada ya miaka kumi.... likisimama, mtoto anaweza KUBEMBEA!
kuna law ya use and disuse... shingo ya twiga na mkia wa sungura
ni mawazo tu
Nyie watu mmenifurahisha sana....Wakuu nimekumbuka biolojia ya kidato cha sita, mwenzenu sikusoma shule za kata !Kwenye evolution biology kuna law of use and disuse which states that the size of a structure is modified by how much it is used. Kwa maana hiyo kama jembe linatumika sana basi litakuwa kubwa sana lol (Namkumbuka Liyumba) na kama halitumiki basi litapoteza kazi yake (Vestigial organ). Wazee hii vipi?
:becky::becky::becky:kobe kumbe una kibamia :becky::becky::becky:linabaki vile vile lakini kipimo kamili cha jembe la mtu ni sawa na kidole cha kati cha mkono tokea nchani mpaka kwenye juu kidogo ya centre ya kiganja exactly sawa na pale mwanzo wa mstali wa kidole gumba kama ukichora L hivi ndo unapoipata size yenyewe.
kwenye kona ya kidole cha kato na kidole gumba ndio kitu chako kawaida kikiwa mnara.
Na wewe nikiangalia vidole vya miguu yako, hasa cha kidole cha kati, najua depth ya kimwaga mkojo chako...bisha na hapa!mzee wa fix huyo.
Na wewe nikiangalia vidole vya miguu yako, hasa cha kidole cha kati, najua depth ya kimwaga mkojo chako...bisha na hapa!
Mungu mkubwa..Yangekuwa yanaisha...OMG! wengine tungekuwa tukakojoa thruu kinyeo!Mkuu jembe lako lingekuwa kama chaki ama kifutio nadhani lingekuwa halipo kabisa!
Miaka 10? huko anakoishi hakuna wanawake? hata wa kununua kwa masaa machache? au anaondoka na nyeto sana?
nikusaidie...vina kinafac kikubwa....ndio kusema?
Sure! Na mwanamme rijali anayekaa miaka kumi bila kukandamiza, mi nadhani ana matatizo. Ningekuwa Mungu ningemnyang'anya hicho kifaa na kumpa kile cha jinsia nyingine. Hayo ni matumizi mabaya ya kifaa cha kazi! God forbid!
[
Mungu mkubwa..Yangekuwa yanaisha...OMG! wengine tungekuwa tukakojoa thruu kinyeo!
Mambo mengine hayafai hapa jamvini lol! Dada umepinda sijapata kuona lol!nikusaidie...vina kinafac kikubwa....ndio kusema?