Kwa wanaume tu: jipime hapa kama bado una nguvu za kiume.

Kijana Wangu una ukame sana na hasa ukizingatia hii Baridi lazima damu ipungue kwny Ubongo!
 
Nguvu za kiume hazipimwi hivyo,mtu anatakiwa awe timamu kiakili na kimwili ,(hii ni kuwa na afya njema na kutokuwa na stress za aina yoyote ) na kama umezoea mashine bado huwezi kusimamisha kirahisi hivi.
 
labda uwe miongoni mwa waliopewa msamaha wa sizonje kutoka Jela siku ya Muungano
 
Sio kipimo kwa kweli,inategemea mtu yupo ktk hali gan wakati huo,kuna mwingine wakati unaandika hivi kapata taarifa za msiba
 
Ww kama ndo ulivyo basi ww ni fisi maji
 
Baada ya kusoma mserebende wangu ndo kwanza umesinyaaa.
 
Inaonesha ndio unaanza jua mapenzi, hiki ulichoweka hapa hakina uhali
 
Co kiivo ww... Absolutely failure ktk ilo,
 
Wewe imesimama? Tuambie umetoka lini jela...
 

Utakuwa mbakaji wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…