gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 292
Mi nakushauri uhame hicho kijiwe haraka...
Hakikufai... Tena hakikufai hata kidogo!... Jitenge nao,hawana la maana la wewe kujifunza... Watakupotosha tu sanasana.. Achana nao!
Ukiendelea nao,mi nakwambia utaharibikiwa kitabia muda si mrefu... Shauri yako! We endelea kukaa na watovu wa adabu kama hao!
We haya....