Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie tanieni huu ushauri ,mtakapo kuja fumania siku moja halafu utetezi wa bibie unakwenda hivi" nisamehe mume wangu ,kweli mi nakupenda sana ila hainitoshi" ndio mtajua shida ya mabao ya chap chap!mkong'oli moja tu reeeefu uone heshima inavyoongezeka ndani ya nyumba!ukichelewa kurudi tu "uko wapi mume wangu" au 'nikupitie ofisini turudi wote' badala ya wewe kumpitia yeye!eti unafika golini then unabana, unatuliza aaaaah mechi ainogi
funga goli then tafuta lingne but thanks kwa somo