Nyie tanieni huu ushauri ,mtakapo kuja fumania siku moja halafu utetezi wa bibie unakwenda hivi" nisamehe mume wangu ,kweli mi nakupenda sana ila hainitoshi" ndio mtajua shida ya mabao ya chap chap!mkong'oli moja tu reeeefu uone heshima inavyoongezeka ndani ya nyumba!ukichelewa kurudi tu "uko wapi mume wangu" au 'nikupitie ofisini turudi wote' badala ya wewe kumpitia yeye!