wanaume wengi wangeshitakiwa kwa contempt of court endapo,kesi inaendelea na akapita mwnamke anayetamanisha,isipokuwa kama jaji au hakimu ni mwanaume basi itabidi akauke tu
Wala usitoke subiri jamaa yetu F**** aje kujiexpress kwako.
Kulinda ujana,...Hivi thread kama hii ina manufaa gani? Naomba kujuzwa.
Hivi kumbe na wewe ni Mwanaume, nilikuwa sijui...!!!
.................. Mimi ni mwanamke tena rijali lol (Hivi na wanawake wanaweza kutumia hiki kisifa?-rijali?)
Kulinda ujana,...
Cheka kwa afya siyo kila kukicha unaumiza kichwa tuuuuuuuuu kuwaza mafisadi,maisha magumu utanunua lini gari mpya nk.
.................. Mimi ni mwanamke tena rijali lol (Hivi na wanawake wanaweza kutumia hiki kisifa?-rijali?)
😛 Ndio. manake ni kwamba ni mwanamke uliyekamilika, waujua mchezo, una uwezo wa 'kufunga magoli', yaani kama gari iliyo kwenye order ikitiwa ufunguo na ikapata 'dereva mzuri' basi 'yenda mbio'! salale!

Huyu hakuna kitu ana mbwembwe tu mbona anashindwa kujiexpress!!!
Ufafanuzi mkuu. Mwanamke ana uwezo wa kufunga magoli au kufungwa magoli?
Mkuu nimecheka sana tena sanaHii ingekuwa displin tosha. Maana tukiona tu demu mara oooh ona, akikaa karibu yako ndo kabisa unaota tayari ushamvua na kubandika,,,lol.
Hii inanikumbusha utani mmoja ati Kule Roma Italy kuna siku mashemasi walikuwa wanapewa uapadrisho. Ili upate upadrisho lazima uwe rijali, lakini at the sametime uweze kuzuia tamaa. Basi wakabuni mbinu ya kujua nani anaweza kuzuia tamaa zake. Siku hiyo kulikuwa na watu 12 waliokuwa wanapewa upadrisho kati yao mwafrika alikuwa mmoja tu wale 11 walikuwa wazungu. Viongozi wakaamua kufunga kengele ndogo lakini zenye mlio mkali kwenye zakari zao. Wakavuliwa nguo wakabakia utupu. Basi akaletwa demu mmoja bomba sana, akapita kwa madaha mbele yao, mara mlio wa kengele ukagonga kwa nguvu, kuangalia ni mwafrika na bahati mbaya zaidi kengele ikaruka mbali kidogo. Viongozi wakamwambia HAYA NENDA KAOKOTE KENGELE YAKO NA UENDE KWENU WEWE HUFAI. Yule jamaa kwa huzuni akapiga hatua tatu mbele akainama kuokota kengele yake. Mara ghafla kengele zilizo bakia zikapiga kelele kwa nguvu, kisa wameona **** la yule mwafika. Viongozi wakafura kwa hasira na kuwaambia wale waliobakia, FADHALI YULE ALIYEMTAMANI MWANAMKE KULIKO NINYI MLIOMTAMANI MWANAUME MWENZENU. NENDENI NYUMBANI NA HAMFAI KUWA MAPADRE. NA WEWE MWAFRIKA TUTAKUPA UPADRISHO KESHO.
Huyu hakuna kitu ana mbwembwe tu mbona anashindwa kujiexpress!!!
Kulinda ujana,...
Cheka kwa afya siyo kila kukicha unaumiza kichwa tuuuuuuuuu kuwaza mafisadi,maisha magumu utanunua lini gari mpya nk.