KWA WANAUME TU (no ladies plz)

KWA WANAUME TU (no ladies plz)

Jaribu kujiuliza kwa wale wenye mamihogo ya kufa mtu,..!!
Mluzi wake si nikama vuvuzelaa ,,.....haaaaa keke eeeeeeee
 
wanaume wengi wangeshitakiwa kwa contempt of court endapo,kesi inaendelea na akapita mwnamke anayetamanisha,isipokuwa kama jaji au hakimu ni mwanaume basi itabidi akauke tu

hiii haaa hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiihiii hiiiiiiiiiii
 
Hivi thread kama hii ina manufaa gani? Naomba kujuzwa.
Kulinda ujana,...
Cheka kwa afya siyo kila kukicha unaumiza kichwa tuuuuuuuuu kuwaza mafisadi,maisha magumu utanunua lini gari mpya nk.
 
.................. Mimi ni mwanamke tena rijali lol (Hivi na wanawake wanaweza kutumia hiki kisifa?-rijali?)

😛 Ndio. manake ni kwamba ni mwanamke uliyekamilika, waujua mchezo, una uwezo wa 'kufunga magoli', yaani kama gari iliyo kwenye order ikitiwa ufunguo na ikapata 'dereva mzuri' basi 'yenda mbio'! salale!
 
Ufafanuzi mkuu. Mwanamke ana uwezo wa kufunga magoli au kufungwa magoli?
 
Huyu hakuna kitu ana mbwembwe tu mbona anashindwa kujiexpress!!!
 
leo nimecheka sana. sijui mwenzetu ulifikiri nini ukaandika hivyo. thanks for laughter of the day
 
ujue kungekua na miluzi mingine hata makanisani, sipati picha umesimama kwenda kutoa sadaka mara limluzi kama honi ya Fuso!!!!
 
Ufafanuzi mkuu. Mwanamke ana uwezo wa kufunga magoli au kufungwa magoli?

Mkuu wewe bado kupata kuona mwanamke akifunga goli? aisee utakuwa bado sana kwenye uzoefu! LOL
 
Hii ingekuwa displin tosha. Maana tukiona tu demu mara oooh ona, akikaa karibu yako ndo kabisa unaota tayari ushamvua na kubandika,,,lol.
Hii inanikumbusha utani mmoja ati Kule Roma Italy kuna siku mashemasi walikuwa wanapewa uapadrisho. Ili upate upadrisho lazima uwe rijali, lakini at the sametime uweze kuzuia tamaa. Basi wakabuni mbinu ya kujua nani anaweza kuzuia tamaa zake. Siku hiyo kulikuwa na watu 12 waliokuwa wanapewa upadrisho kati yao mwafrika alikuwa mmoja tu wale 11 walikuwa wazungu. Viongozi wakaamua kufunga kengele ndogo lakini zenye mlio mkali kwenye zakari zao. Wakavuliwa nguo wakabakia utupu. Basi akaletwa demu mmoja bomba sana, akapita kwa madaha mbele yao, mara mlio wa kengele ukagonga kwa nguvu, kuangalia ni mwafrika na bahati mbaya zaidi kengele ikaruka mbali kidogo. Viongozi wakamwambia HAYA NENDA KAOKOTE KENGELE YAKO NA UENDE KWENU WEWE HUFAI. Yule jamaa kwa huzuni akapiga hatua tatu mbele akainama kuokota kengele yake. Mara ghafla kengele zilizo bakia zikapiga kelele kwa nguvu, kisa wameona **** la yule mwafika. Viongozi wakafura kwa hasira na kuwaambia wale waliobakia, FADHALI YULE ALIYEMTAMANI MWANAMKE KULIKO NINYI MLIOMTAMANI MWANAUME MWENZENU. NENDENI NYUMBANI NA HAMFAI KUWA MAPADRE. NA WEWE MWAFRIKA TUTAKUPA UPADRISHO KESHO.
Mkuu nimecheka sana tena sana
Ila naomba uchague mji
 
Tungeliumbwa na hiyo miluzi basi kusingelikuwa na taabu. Ona wa-Hadzabe wa Manyara, Wa-Dinka wa Sudan Kusini na Hata Bushmen wa Bondeni wanapiga miluzi ya majamboz na hakuna taabu. Wameikubali hali. Na sisi tungekubali. Kutongoza ingekuwa simple sana.
 
Kulinda ujana,...
Cheka kwa afya siyo kila kukicha unaumiza kichwa tuuuuuuuuu kuwaza mafisadi,maisha magumu utanunua lini gari mpya nk.

thnx mkuu ..! jibu zuri sana..! cheke unenepa, sio kila siku unasoma thread za kukupandisha presha.!
 
Back
Top Bottom