KWA WANAUME TU (no ladies plz)

KWA WANAUME TU (no ladies plz)

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
2,209
Reaction score
822
swali la kivushi.....!

Dear Gentlemen!

HIVI MAISHA YETU SS WANAUME YANGEKUWAJE KAMA UUME ULIOSIMAMA (ERECT PENIS) UNGEKUWA UNAPIGA MLUZI..?????? (WHISTLING LOUD)

imagine, kwenye daladala, msikitini, kanisani,ofcn...etc!

nawakilisha!
 
Tangu niingie JF sijawahi kukutana na thread kama hii. Nimecheka mpaka basi. Nimeimagine inapiga mluzi ikiwa ndani ya nanihino, mbona mashori wangekoma.
 
swali la kivushi.....!

Dear Gentlemen!

HIVI MAISHA YETU SS WANAUME YANGEKUWAJE KAMA UUME ULIOSIMAMA (ERECT PENIS) UNGEKUWA UNAPIGA MLUZI..?????? (WHISTLING LOUD)

imagine, kwenye daladala, msikitini, kanisani,ofcn...etc!

nawakilisha!

...yaani ya kwako haipigi miluzi mpaka leo??...basi unahatari sana wewe!!

Seriously, kusingekuwa na tofauti. Ni sawa na jinsi unavyoona wengine wana manywele na madevu mengi na wengine hawana. Unazaliwa na kuvikuta, unakua na kuvizoea, hivyo hutokuwa na referential point ya kukufanya ufikiri vinginevyo. Labda ambacho ungefikiri ni INGELIKUWAJE KAMA ZINGELIKUWA hazipigi miluzi! Kwa wanaoamini uumbaji; "aliyeziumba" na kuzifanya zisipige miluzi huchelewi kukuta angetuumba na masikio ya kutosikia frequency ya miluzi hiyo. Au tusingekuwa na masikio kabisa. Na kwa wanaoamini revolution, basi tungelikuwa tume-adapt kutosikia au wanaosikia miluzi hiyo wangelikuwa wame-adapt kujisikia furaha na si kuudhika pale miluzi inaposikika.
 
swali la kivushi.....!

Dear Gentlemen!

HIVI MAISHA YETU SS WANAUME YANGEKUWAJE KAMA UUME ULIOSIMAMA (ERECT PENIS) UNGEKUWA UNAPIGA MLUZI..?????? (WHISTLING LOUD)

imagine, kwenye daladala, msikitini, kanisani,ofcn...etc!

nawakilisha!

Mkuu wengine tupo maofisini yani nacheka peke yangu hapa nikiulizwa nitasemaje?

heheh nahisi wote tungekosa nguvu za kiume kwa woga wa kusikika kuwa sasa mambo yamejipa! tehe tehe

halafu hizi views mbona nahisi kama kina dada wanatuchungulia?
 
swali la kivushi.....!

Dear Gentlemen!

HIVI MAISHA YETU SS WANAUME YANGEKUWAJE KAMA UUME ULIOSIMAMA (ERECT PENIS) UNGEKUWA UNAPIGA MLUZI..?????? (WHISTLING LOUD)

imagine, kwenye daladala, msikitini, kanisani,ofcn...etc!

nawakilisha!

nadhani masikio ya wengi yangekuwa yameshaharibika kwa makelele!
pili,ingebidi zitengenezwe chupi ambazo ni sound proof
wasi wasi wangu mkubwa ni ule wakati wa majamboz, si ingekosa pumzi?
mkuu lakini mpaka kuandika hivi inaonekana ofisini kwako wanakuvalia vimini sanaeee!
 
Mkuu Silent umenichekesha sana leo, natamani ungeweza kutuambia yaliyokukumba mpaka ukaamua kuwaza hili suala.
mimi nadhani kusiweza kuwa na shindano la Miss Tanzania kwa sababu wale mabinti na vile vichupi vyao basi miluzi ingesababisha ukumbini kusiwe na maelewano.
Fikiri uko home sebuleni na watoto wako, dada zako na pengine hata mama yako mzazi.
 
Nadhani madesginer wangekuwa wametengeneza chupi ambazo ni sound proof, hivyo kungekuwa hakuna tatizo lolote. Ila jamani hizi threads nyingine mnasababisha watu waonekane kama machizi ofisini kwa vicheko!
 
Jamani samahanini nimeshindwa kujizuia loh mna hatari nyie............. Duh nimeingia choo cha kiume! Natoka
 
Last edited:
Hahahahaha dah si mchezo wewe MJ1 unatafuta nini huku??
 
Jamani samahanini nimeshindwa kujizuia loh mna hatari nyie............. Duh nimeingia choo cha kiume! Natoka

Umekuja kufanya nini huku wakati umeambiwa hii thread ni ya mimwaga mbegu peke yao? Ona sasa!
 
Mimi nafikiri ningehamia msituni, watu wengine 24/7 tuko fresh either by imagination or by feelings
 
swali la kivushi.....!

Dear Gentlemen!

HIVI MAISHA YETU SS WANAUME YANGEKUWAJE KAMA UUME ULIOSIMAMA (ERECT PENIS) UNGEKUWA UNAPIGA MLUZI..?????? (WHISTLING LOUD)

imagine, kwenye daladala, msikitini, kanisani,ofcn...etc!

nawakilisha!
Mnong'onezaji sijawahi chekeshwa na mtu kama ulivyofanya wewe,we unaonekana ni comedian mzuri sana sema huipendi sanaa hii,unadhani ze comedy+futuhi watachukua muda gani kufikia hapo ulipo?Yaani hilo linalojiita bepari la kihaya lingekuwa na uwezo kama wako lingemfulisha hata Tido Muhando!!
 
Unajua mm ikisimama dah iwa napitiliza kituo naenda kushuka mbele maana kama umeulamba na umekaa kwenye kiti ukisimama tu mshare unaonyesha dah aibu.
 
yaani mi nshacheka hapa ofisini mpaka naulizwa....inabidi nidanganye nimekubuka mbaalii sanaa...jamani hizi thread nyingine tutafukuzwa kazi!!
 
swali la kivushi.....!

Dear Gentlemen!

HIVI MAISHA YETU SS WANAUME YANGEKUWAJE KAMA UUME ULIOSIMAMA (ERECT PENIS) UNGEKUWA UNAPIGA MLUZI..?????? (WHISTLING LOUD)

imagine, kwenye daladala, msikitini, kanisani,ofcn...etc!

nawakilisha!

...Unauliza majibu mkuu,...

wengi wanaokumbwa na mfadhaiko wakiona demu utawasikia wanapiga mluzi/mbinja na sauti hiyooo inatokea kinywani! Bado kufahamu una vichwa viwili vinavyofanya maamuzi tofauti?

Jichunguze!
 
Unajua, miluzi ya xxoo ingesaidia sana kuboresha mashindano ya muziki. Hawa BSS wangekuwa wanafanya kazi yao kwa umakini zaidi. Ila we Silent Whisper, nenda Muhimbili haraka kwa akina Prof. Kilonzo pale wakacheki ubongo kama uko wote bado
 
Last edited:
Back
Top Bottom