Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo

ahahahahaaaaaaaaaaa!..na kama bado haujaoa_ni nyumba kubwa au ndogo
 
Na wewe unafanya nini huku kwenye sredi ya wanaume?

Mwee samahani babu sikusoma kibao mlangoni, mie nimeona viatu vyako tu na mkongojo nikaingia.
Haya Babu Mjukuu Mtiifu natoka. Bye ntamsalimia Bibi nikifika.
 
Nimekuelewa ingawaje nimecheka kwa loud spika...sina hakika kama kweli hiyo ndio maana halisi ya nyumba ndogo...
 
Hapa mnaulizia idadi ya nyumba ndogo? I mean, the number of smaller houses allowed by 'the law'?
 
ahahahahaaaaaaaaaaa!..na kama bado haujaoa_ni nyumba kubwa au ndogo

hahaha,...huwezi kuwa na nyumba kubwa au ndogo kama hujajenga kwanza nyumba yenyewe.......Igweeeeeeeeeeeeeeee
 
Hapa mnaulizia idadi ya nyumba ndogo? I mean, the number of smaller houses allowed by 'the law'?

hommie...this is a completely new paradigm

hapa nilichouliza je.....bila kujali idadi...unaangaliaga vitu gani hasa....udogo halisia wa nyumba au?

Usitake kusema habari ya Idadi hapa maana italeta mtafaruku..
 
:drum:Yeuwiiiiiiiiiiiiii nyie wanaume mnaongelea nini hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hahaha,...huwezi kuwa na nyumba kubwa au ndogo kama hujajenga kwanza nyumba yenyewe.......Igweeeeeeeeeeeeeeee

yeah man!...kwa hiyo kina sisi ndio haturuhusiwi kuchangia maake hatuna chumba hapa...hatuna nyumba ndogo wala kubwa sie
 
Ambacho ningependa hasa tufikia muafaka ni kwa nini ziliitwa 'nyumba ndogo'?

Karibuni tushee maexperience hapa......

Kwa sababu tu hazitambuliki kiukoo
Zipo zipo tu kwa kujificha ficha
 
hehehehe!...

hapa nitakuwa mtazamaji tu...!

two years in marriage hazitoshi kuielezea nyumba ndogo kwa undani wake!...naamini bado sijakutana na mikiki-mikiki ya kunipa msukumo wa kujenga hako kajumba kadogo....though i hope yatanikuta tu.nitakuwa mwongo na mzushi....!

i will be watching!
 
yeah man!...kwa hiyo kina sisi ndio haturuhusiwi kuchangia maake hatuna chumba hapa...hatuna nyumba ndogo wala kubwa sie

yeah hapo IGWE nilipe nisepe...
 
orait orait....thats fair enough...'wacha mapenzi yafate mkondo wake'
 
Yaani kaizer hujui kwanini nyumba ndogo zimeitwa hivyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…