Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo

Hivi waweza ulizia chanzo cha shina wakati mizizi waiona..... Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja.... Ndio chanzo/sababu kuu.... Hivi tuking'ang'ania mwanamke mmoja, hao wanawake wengine waliokosa wanaume wa kuwalala, nani atawatiisha kiu yao?
Aspirin hapa umelikoroga,hivi Lizzy yuko wapi akutie bakora za kisawasawa?
 
Yaani kaizer hujui kwanini nyumba ndogo zimeitwa hivyo??

Kuna jamaa angu ana nyumba ndogo ndani yake tena ana nyumba ndogo ndani tena kuna nyumba ndogo.

Maanake ana nyumba ndogo inamdogo ake jamaa nayo anaimega mdogo anamdogo ake nae anammega

Hapo ndani ya nyumba ndogo moja kuna vijumba vidogo viwili size tofauti
 
khaaaa! Mwishoni atawasahau hadi majina.
 
zimeitwa hivyo kwa sababu kubwa tayari ipo. Kusingekuwa na nyumba kubwa hiyo ndogo ingeitwa kubwa.mia.

thanks thats very logical....ungekuwa na wewe ni mwanaume ungeangalia vitu vipi katika kujenga hiyo ndogo maadamu kubwa ipo......eeh
 
Kuna jamaa angu ana nyumba ndogo ndani yake tena ana nyumba ndogo ndani tena kuna nyumba ndogo.

Maanake ana nyumba ndogo inamdogo ake jamaa nayo anaimega mdogo anamdogo ake nae anammega

Hapo ndani ya nyumba ndogo moja kuna vijumba vidogo viwili size tofauti
Jamani! Jamani! Jamani! Is it?
 
Kuna jamaa angu ana nyumba ndogo ndani yake tena ana nyumba ndogo ndani tena kuna nyumba ndogo.

Maanake ana nyumba ndogo inamdogo ake jamaa nayo anaimega mdogo anamdogo ake nae anammega

Hapo ndani ya nyumba ndogo moja kuna vijumba vidogo viwili size tofauti
Mpwaa banaa hii lazima itakuwa ni migomigo tu
 
Hivi siku nyumba ndogo inaibuka nyumbani kwako ina mtafuta mumeo utafanyaje??
Khaaa! Tema mate chini, manake ntakachofanya hakijawahi kufanywa na yeyote chini ya jua...lol... Na huyo nyumba ndogo atakuwa anajiamini kiasi gani mpaka aje nyumbani kwangu?
 
Kuna wengine acha nao kabisa wanajiamini balaa
 
Khaaa! Tema mate chini, manake ntakachofanya hakijawahi kufanywa na yeyote chini ya jua...lol... Na huyo nyumba ndogo atakuwa anajiamini kiasi gani mpaka aje nyumbani kwangu?

Kodi ya nyumba imekwisha unakuta mzee hajatia maguu miezi kama 4 hivi kumbe kapata nyumba kiduchu ingine
 
Back
Top Bottom