Kwa Wanaume tu: Utafanyaje jambo ili likikukuta ugenini?

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
17,637
Reaction score
47,413
Oii Oii (In Kalapina's voice)

Direct to the point.

Umeenda kutembea somewhere. Umekaribishwa vizuri kama mgeni. Full maukarimu. Muda wa kulala unawekewa mashuka mapya. Yani yametolewa kabatini kwa ajili yako. Shuka nyeupe na maua maua.

Usingizi unakuwa mwanana. Asubuhi unaamka unagundua last night you had wet dream. Umepigia bao kwenye shuka. Umeacha doa kubwa tu ambalo halifichiki.

Swali: How will you handle the situation? Hako kaaibu utakasolve vipi?
 
Hilo goli umempiga shetani[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1. Omba maji ya kunywa kabla ya kutoka chumbani....
2. Kisha chukua sox yako na uchovye maji yale kwa kutumia sehem ya juu ya sox.....
3. Kisha sugua pale manii ipo kwa kutumia sox ilio lowana.....
4. Kisha chukua sox nyingine kavu na usugue kama unakausha sehem ulio lowanisha kwa sox mbicho.....
5. Kisha kunja mashuka vizuri na ukiweka palipo lowa kwa upande wa ndani......
Na hapo utakua umemaliza zowezi lako, pia mwenyeji atakuona mgeni mstaarabu hata umekunja mashuka mujarab baada ya kulalia......
Siku wakija hitaji kuyatumia tena yatakua tayari sehemu ile imekakua.....
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hapo ni kuchukua maji na sabuni then unaanza kufua fasta, naamini wenyeji wako wakiona unafua, watajua kuwa wewe ni maridadi na hapo lazima wenyeji wako waje wakukataze na wachukue wao ili walifue, ni simple tu namna hiyo. Ukojiongeza hutoskia aibu wala nini![emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Wet dream kwa umri gani? Mim najua vijana wanaobarehe ndo wenye wet dream
 
Hii nzuri...
Ninaongezea hapa..

Fanya kama umestuka ndani ukiwa na glass ya maji ..."daaaaaaah maji yamemwagikia kitandaniiiii"
Unawaomba wenyeje ruhusa ya kwenda nalo nje kukamua, ila hii kwa familia za uswahilini ndo utapewa glass uingie nayo chumbani, ila ushuani hawawezi kukupa glass ya maji uingie nayo chumbani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…