Kwa Wanaume tu: Utafanyaje jambo ili likikukuta ugenini?

Kwa Wanaume tu: Utafanyaje jambo ili likikukuta ugenini?

Namba 13 na 20 wanapointi ya msingi, ili bao litokee kwenye shuka lazima uwe umelala bila nguo, ujasiri Wa kulala bila nguo unautoa wapi?
 
Naomba sabuni ya kufulia na beseni tu hapo kwisha kazi
 
Mimi nitaongeza siku za kulala maana kwa ule mshindo wa kutua ile kitu huwa tamu sana ila mchoko wake ndo balaa
 
Back
Top Bottom