Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaawe mdada wewe utafanya wanaume wa Dar wafie kwenye maboga, sisi wa kijijini maboga viazi na uji kama kawaida, mziki wake mpaka mama koku anaomba aongezewe mwenzake wasaidiane
[emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Hivi vidude ni hatari kabisa kwa asiye na mpenzo
Ngoja nianze biashara ya maboga madogo, kumbe inalipa!...Wandugu kwa wale waliooa na wake zao wako available embu jaribuni kunywa supu ya maboga madogo kama vibuyu Bila kutoa mbegu zake. Nakuambia kama mama hayupo house girl anaweza kufanywa kitoweo. Hivi viboga vingi vipo mitaa ya Kisutu.
uzuri mie sina mpenzi... [emoji1]![]()
Hivi vidude ni hatari kabisa kwa asiye na mpenzo
Mkuu una kibamia au njiti ya kiberiti? ?Nina kibamia, itasaidia chochote?
Bado madodokiWandugu kwa wale waliooa na wake zao wako available embu jaribuni kunywa supu ya maboga madogo kama vibuyu Bila kutoa mbegu zake. Nakuambia kama mama hayupo house girl anaweza kufanywa kitoweo. Hivi viboga vingi vipo mitaa ya Kisutu.
Nina kibamia mkuu, ninazidi njitiMkuu una kibamia au njiti ya kiberiti? ?