Kwa wanaume tu wenye uhusiano

Kwa wanaume tu wenye uhusiano

b65fec19d856db57c699b9a596da009c.jpg

Hivi vidude ni hatari kabisa kwa asiye na mpenzo
 
Wandugu kwa wale waliooa na wake zao wako available embu jaribuni kunywa supu ya maboga madogo kama vibuyu Bila kutoa mbegu zake. Nakuambia kama mama hayupo house girl anaweza kufanywa kitoweo. Hivi viboga vingi vipo mitaa ya Kisutu.
Ngoja nianze biashara ya maboga madogo, kumbe inalipa!...
 
Kinyumbani hiyo tunaita Liyobha au ebhungu
Ni staple food murua sana
 
Wandugu kwa wale waliooa na wake zao wako available embu jaribuni kunywa supu ya maboga madogo kama vibuyu Bila kutoa mbegu zake. Nakuambia kama mama hayupo house girl anaweza kufanywa kitoweo. Hivi viboga vingi vipo mitaa ya Kisutu.
Bado madodoki
 
Kma ilikuwa inahusu house girl hii mada xi ata tunaoishi kwa mama tunywe tu cio?
 
Back
Top Bottom