Kwa wanaume tu wenye uhusiano

we mdada wewe utafanya wanaume wa Dar wafie kwenye maboga, sisi wa kijijini maboga viazi na uji kama kawaida, mziki wake mpaka mama koku anaomba aongezewe mwenzake wasaidiane
Ahahaa
 
Wandugu kwa wale waliooa na wake zao wako available embu jaribuni kunywa supu ya maboga madogo kama vibuyu Bila kutoa mbegu zake. Nakuambia kama mama hayupo house girl anaweza kufanywa kitoweo. Hivi viboga vingi vipo mitaa ya Kisutu.
Ngoja nianze biashara ya maboga madogo, kumbe inalipa!...
 
Nina kibamia, itasaidia chochote?
 
Kinyumbani hiyo tunaita Liyobha au ebhungu
Ni staple food murua sana
 
Wandugu kwa wale waliooa na wake zao wako available embu jaribuni kunywa supu ya maboga madogo kama vibuyu Bila kutoa mbegu zake. Nakuambia kama mama hayupo house girl anaweza kufanywa kitoweo. Hivi viboga vingi vipo mitaa ya Kisutu.
Bado madodoki
 
Kma ilikuwa inahusu house girl hii mada xi ata tunaoishi kwa mama tunywe tu cio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…