kwa wanaume tu

kwa wanaume tu

chimala

Senior Member
Joined
Jul 2, 2010
Posts
162
Reaction score
34
Mwenzenu nimekaa na kutathimini historia ya mapenzi yangu tangu nilivyoanza mahusiano ya kimapenzi, nikagundua kuwa wanaume ambo niliwapenda sana hatukuweza kudumu kwa mda mrefu, ila ambao sikuwapenda ile kiukweli ndo niliodumu nao sana na mimi ndo nilikuwa nawaacha kwa sababu sikuweza kujilazimisha kuwa nao wakati siwapendi, nikawa najiuliza maswali mengi kwa nini mwanaume ninaempenda sana ananiacha, sikupa jibu sahihi baadae nikaamua kuanza kusoma tabia za wanaume wawapo kwenye mahusiano katika website mbali mbali na vitabu. Waandishi wengi waliandika kwamba wanaume wanapenda sana kutoa I mean kutoa caring, attension na mambo yote yatakayomfanya aonekane kwa mwanamke wake kwamba anajali, lakini inapotokea mwanamke wake akafanya hayo niliorodhesha hapo juu basi mwanaume huyu atajiona kama anadhalaulika,na kuanza ku pull away, je wanaume ni kweli kwamba mnapopendwa huwa mnatabia ya ku pull away, je hampendi wanawake zenu wawaoneshe mapenzi ya dhati, akupe caring attension na vingine vyote? je mnapenda wanawake zenu wabehave vip mnapokuwa kwenye mahusiano.
 
Tunapenda tena sana. Mimi kwa upande wangu napenda sana caring na nimekuwa nikiachana na mwanamke kwa sababu zingine mbali na caring.
 
Mwenzenu nimekaa na kutathimini historia ya mapenzi yangu tangu nilivyoanza mahusiano ya kimapenzi, nikagundua kuwa wanaume ambo niliwapenda sana hatukuweza kudumu kwa mda mrefu, ila ambao sikuwapenda ile kiukweli ndo niliodumu nao sana na mimi ndo nilikuwa nawaacha kwa sababu sikuweza kujilazimisha kuwa nao wakati siwapendi, nikawa najiuliza maswali mengi kwa nini mwanaume ninaempenda sana ananiacha, sikupa jibu sahihi baadae nikaamua kuanza kusoma tabia za wanaume wawapo kwenye mahusiano katika website mbali mbali na vitabu. Waandishi wengi waliandika kwamba wanaume wanapenda sana kutoa I mean kutoa caring, attension na mambo yote yatakayomfanya aonekane kwa mwanamke wake kwamba anajali, lakini inapotokea mwanamke wake akafanya hayo niliorodhesha hapo juu basi mwanaume huyu atajiona kama anadhalaulika,na kuanza ku pull away, je wanaume ni kweli kwamba mnapopendwa huwa mnatabia ya ku pull away, je hampendi wanawake zenu wawaoneshe mapenzi ya dhati, akupe caring attension na vingine vyote? je mnapenda wanawake zenu wabehave vip mnapokuwa kwenye mahusiano.
hiyo list ya wanaume???kichecheeeeeee
 
Wanaume hatupendi kufatwafatwa saaana shauri ya ukware wetu, ila napenda caring.
 
For me napenda sana caring ya mwanamke, bila hvyo naona kama hanipendi.
 
Mwenzenu nimekaa na kutathimini historia ya mapenzi yangu tangu nilivyoanza mahusiano ya kimapenzi, nikagundua kuwa wanaume ambo niliwapenda sana hatukuweza kudumu kwa mda mrefu, ila ambao sikuwapenda ile kiukweli ndo niliodumu nao sana na mimi ndo nilikuwa nawaacha kwa sababu sikuweza kujilazimisha kuwa nao wakati siwapendi, nikawa najiuliza maswali mengi kwa nini mwanaume ninaempenda sana ananiacha, sikupa jibu sahihi baadae nikaamua kuanza kusoma tabia za wanaume wawapo kwenye mahusiano katika website mbali mbali na vitabu. Waandishi wengi waliandika kwamba wanaume wanapenda sana kutoa I mean kutoa caring, attension na mambo yote yatakayomfanya aonekane kwa mwanamke wake kwamba anajali, lakini inapotokea mwanamke wake akafanya hayo niliorodhesha hapo juu basi mwanaume huyu atajiona kama anadhalaulika,na kuanza ku pull away, je wanaume ni kweli kwamba mnapopendwa huwa mnatabia ya ku pull away, je hampendi wanawake zenu wawaoneshe mapenzi ya dhati, akupe caring attension na vingine vyote? je mnapenda wanawake zenu wabehave vip mnapokuwa kwenye mahusiano.

wanaume wanapenda uhuru hawatiki kabisa kubanwa ila wewe inaonesha hao unaowapenda unawabana sana ndio maana wanakukimbia
 
kwa wakati tofauti mpendwa, wewe je uliyemiliki mmasai na mmarangu kwa wakati mmoja tukuiteje
 
kufatwa fatwa kivip mpevu, hebu nieleweshe kidogo nadhani ndo nilipokuwa nakosea
 
kuna kitu ulikua unakosea na labda wanawake wengi hawakijui kuhusu sisi wanaume,tunapenda sana kuonyeshwa mapenzi ya dhati,kuwa cared na kuonyeshwa attention,lakn wanawake wengi mnafikiri kumganda(wivu wa kuzidi kiasi) sana mwanaume i.e anakosa hata privacy eg;akitoka na wenzake bila ww kuwepo shida,akiongea na watu wa jinsia ya kike uanleta zengwe bila kuuliza na mambo kama hayo ndio mnafikiri ni caring....hapo ndipo tatizo linapoanzia,...anyway kwa ufupi wanaume wengi tunapenda sana uhuru pamoja na hiyo caring,attention and so forth and so on.
 
asante sana mkuu IGWE, kingine eti hampendi kupigiwa simu mara kwa mara, eti mnaona kama mnasumbuliwa
 
1.mwanamke akipenda WIVU atakuwa nao
2.Wanaume wachache wanaoweza kuvumilia kero za WIVU. Matokeo yake......NAKUACHA.
 
1.mwanamke akipenda WIVU atakuwa nao
2.Wanaume wachache anaoweza vumilia kero za WIVU. Matokeo yake......NAKUACHA.

Asante sana mkuu, kwa hiyo wivu ndo huwa unaniponza, ntajitahidi kujicontol
 
asante sana mkuu IGWE, kingine eti hampendi kupigiwa simu mara kwa mara, eti mnaona kama mnasumbuliwa

suala sio kupigiwa simu mara kwa mara,inategemea ni simu zenye sababu zipi _ maake kuna simu za kuulizwa uko wapi mara unafanya nini mara uko na nani na nyingine kama hizo ndio zinazoboa,.....
 
duuuuuh goodevening dear!umefufuka?nilisoma Mods walikukimbiza ukadumbukia mtoni ukajifia sasa inakuwaje hapa?

Niliomba mapumziko kidogo kazi zilikuwa haziendi nipo nipo nimerudi kama kawaida jambo wewe mie miss you
 
Back
Top Bottom