Yapo mambo mawili ambayo yamejinga kwenye vichwa vya baadhi ya wanaume siku hizi. Cha kwanza wanaamini kuwa wanawake wengi wanapenda zaidi ela na starehe, na sio mapenzi. Na pia tunaona kama wanawake wengi wanapenda kuolewa tu na sio mapenzi. Jihadhari usionekane kama una hata lengo moja kati ya hayo. Onyesha kwa mwanaume kuwa unathamini sana ela na uwe unamshauri apunguze starehe. Akikutoa kwenda kula piza ya sh 30,000/= mwambie no... kwanini tusiende tu hapo mgahawani tukala chakula cha kawaida, alafu hivyo vitu vikubwa tukafanya siku maalumu tu. Kama kweli anakupenda utashangaa siku anakupeleka sehemu ya matawi ya juu kwa surprise. Kama unakunywa pombe, ukiwa nae mwangalie yeye kwanza anakunywa nini. Kama anakunywa pombe, basi usijivunge,
na wewe kunywa asije akakuona mnafiki, ila kama hanywi, take care kumsoma namchukuliaje mtu anayekunywa, kama yuko neutral, then kunywa ili akuone kuwa unajiamini. Usimuachie yeye tu kulipa bill. Kama unajua mtatoka, jitahidi kupata vijisent kadhaa, na mkiwa kwenye starehe, lipia kitu chochote kimoja wapo, hata chumba (kama mtahitaji faragha). Hii itamfanya akuone kuwa unastarehe sio kwa sababu ya pesa zake, bali unapenda kustarehe.
Usipende sana kumsisitiza kuhusu ndoa. Usipende kudiscuss naye juu ya ndoa za rafiki zake au zako. Usipende kumwonyesha kuwa yeye ndiye mtarajiwa wako au wewe ndiye mtarajiwa wake. Usimtambulishe hivyo kwa ndugu au jamaa. Mtambulishe kama rafiki yako wa kiume, basi. Ukiongea naye kuhusu ndoa mwambi ... mi napenda baadaye maisha yangu ya ndoa yawe hivi na hivi.. napenda niwe na mwanaume mwenye tabia nzuri kama za kwako.. Akikuuliza kwa ni huna uhakika kuwa atakuwa yeye..., mwambie yote ni mipango ya Mungu, lakini ungefurahi sana kama akiwa yeye...
Kama unataka akununulie kitu, mwombe akusindikize shopping. Ukifika kule mwambie kuwa una shilingi kadhaa na unataka kununua kitu fulani (hata kama hizo hela alikupa yeye), then chagua kama ni nguo au chochote, jaribu, akikwambia umependeza, jifanye kuulizia bei.. then akiwa kubwa kuliko ulizo nazo, usitake kumwambia akuongezee, bali sema ok,
000
\
Umeme umekatika, UPS yangu inaisha chaji, kwa heri...