Kwa wanaume tu.

Kwa wanaume tu.

umeshaambiwa kwa WANAUME tu..huku utajitia presha tu my lovely Dada
Nawewe haikuhusu mbn unanifata nitakudunda siunanijua dada yko, na mama anavyopenda kunitetea hata km kosa nimefanya mm[emoji110]
 
Nawewe haikuhusu mbn unanifata nitakudunda siunanijua dada yko, na mama anavyopenda kunitetea hata km kosa nimefanya mm[emoji110]
Alaf maza anakupendelea sijui kwa nini...nitaandamana
 
Kumekucha!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
mbona nimegusa naona mtu kaganda tu kama mshumaa wa pasaka,wala haonyeshi kurembua rembua yani amekaa uso kama komando kipensi,wewe utafiti wako huo jaribu kuupitia tena
 
Back
Top Bottom