Kwa wanaume tu

Kwa wanaume tu

Kujisoma wenyewe mmeshindwa mpaka sasa hamjielewi, haya mtatusomaje sisi waone vile.
 
Nyie ladies mnatafuta nini huku, si nilisikia tumeitwa wanaume tu? Mhhhh, na nyie kwa kupenda mambo ya wanaume!
 
Kujisoma wenyewe mmeshindwa mpaka sasa hamjielewi, haya mtatusomaje sisi waone vile.
Mamushka unanitisha, hiyo kauli nadhani tungekuwa karibu ungerusha ngumi, halafu hivyo ulivyo ni balaa!
 
Back
Top Bottom