I was curious kujua ukweli wa jambo hili ukizingatia kuwa ni sensitive sana kwa namna yoyote haiwezekani kumuuliza mtu swali la aina hii katika face to face conversation kwa iyo nikaona ni bora kutumia jukwaa hili lenye weledi wa fani mbalimbali kunijuza, maana niliamini objectivity itakuwa ashuadi
Pili wanaume walikuwa target population yangu kwa sababu nilijua kuwa baadhi yao wame experience jambo hili..kwa iyo hawatasema jambo waliosimuliwa au kuhisi tu, watatoa mchango from their own experience. Nachukua nafasi hii kuwaomba radhi wanawake kwa kutowa ingiza kwenye sample hii si kwa sababu sithamini michango yao, bali nilifahamu nao huenda wana experience the samething na hawana hakika ya ukweli au uwongo huu, so nao niliwafanya wawe audience wasilikize wanaume wanatuwazia nini katika hili. Lakini ninakiri kufurahishwa na michango yao walioito na ninaithamini.
Tatu, swali hili halikuwa na jibu la uwongo au la ukweli, yote kwangu pamoja na critics yalikuwa na maana katika utafiti wangu. Ninajua kuwa wanadamu wana perception tofauti, wapo wanaodhani embe ni tunda best na wanaoona si tunda zuri, kitafiti, jibu moja likijirudia rudia mara nyingi hasa ukitumia aina tofauti ya interviews (uki triangulate data) kuna possibility lina ukweli. Na kwa sababu qualitative data haihitaji population kubwa kushiriki, kwa hayo machache mliyoyatoa tayari nilipata muelekeo wa jibu langu. Critics pia zilikuwa muhimu kushape thinking yangu juu ya jambo hili
Nne, narudia kwamba, nawashukuru wote kwa yote, ila wale waliodhani (kwa bahati mbaya) kuwa natangaza biashara nasikitika kuwajuza kuwa hawakuelewa nia yangu njema ya kutambua ukweli wa hili jambo ambalo nimekuwa nikiambiwa na mume wangu mara kwa mara. Naruadia tena nilikuwa curious tu kujua siri hii na sina lengo lolote zaidi ya hili, naomba nihukumiwe kwa dhamira hii ya kuwa wazi katika sensitive ishu hadharani na si vinginenvyo. Na nilileta hii mada hapa nikijua kuwa nitashauriwa na great thinkers kamwe sikuwahi kudhani kuwa jamii forums ni sehemu ya kutangaza biashara zisizofaa.
asanteni sana great thinkers