Hakuna utamu wowote kwa kuangalia tu na wala kuacha kama bado unafikiria kilichopo pale itakuwa ngumu pia. Ukimuona aliyekaa hivyo kama anakupendezesha kwa mkao huo, endelea kula chabo maana hailipiwi na kama anakuudhi na kukusukuma kwenye dhambi, simama na mkemee walio karibu nawe watakuunga mkono.
SIMAMA JIPANGE SAWASAWA, MACHO YAKO MBELE SIMAMA KIUMEEEEEE, JIPANGE SAWASAWAAAAAAAAAAA!!!!!!
Watu wanavutiwa na pilau wewe unavutiwa na kuona mapaja tena siajabu yakawa kwenye Skin tight yamefichwa wewe jicho kodooo!! unatuabisha acha ukome kabisa na nakemea kwa jina la YESUUUUUUUU!!!!!