Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Ndio maana ya kuitwa mwanamume! ni pamoja na kuthaminisha "mali" wewe unaita kuchungulia......la hasha huko ni kuthaminisha bana we vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni wale wapiga chabo kwenye mabafu ya uswahilini.Hao wanawake wanakuwa wamekaa wapi hadi waangaliwe kwa zamu na watuna wasistuke?
Kama ni hivyo ujue wako kazini.Hao wanawake wanakuwa wamekaa wapi hadi waangaliwe kwa zamu na watuna wasistuke?
Maria Roza, u r very handsome man...
Mwaya kule kutamu ndo maana mwachungulia :biggrin1:
We umejuaje kama kutamu?na wasi wasi na jinsia yakoMwaya kule kutamu ndo maana mwachungulia :biggrin1:
Mwaya kule kutamu ndo maana mwachungulia :biggrin1:
Hiyo ni tabia yako mwenyewe , wengine hatuna tabia hiyo. Kwanza hiyo sehemu siyo nzuri kutazama mpaka wakati muafaka