Kwa wanaume tu!

Kwa wanaume tu!

KadogooCate

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
484
Reaction score
1,100
Wasalaam!

Wakati mwingine wanaume hamjui mnachotaka au mnakuwa mnawaza nini! Unakutana na mdada anakueleza tu ukweli kwamba kazi yake ni kuuza mkaa, au mama ntilie, au mfagiaji wa maofisini au kazi yoyote zile zinazoonekana hazina hadhi, wewe unamkwepa na kama mlikuwa mnawasiliana unakata mawasiliano kwa nini?

Kwamba wenye kazi hizo tajwa hapo juu ni vimeo, au hawana hadhi au wana nini? Mnataka mdanganywe ooh, mi ni banker, teller, nna botique yangu sinza niko TRA pale makao makuu! Alafu mkija kugundua ukweli mnawalaumu wanawake wana fake maisha?

So which is better kwenu hebu wekeni wazi, tuendelee kuwadanganya ili twende sawa au tuwe wakweli tu?

Majibu yenu ni muhimu.

Have a good time to finalize the weekend!
[emoji8]
 
Wanaume tunawakimbia Wanawake baada ya kuonja papuchi
KISA wengi wa hao uliowataja ni wadangaji bora nimtafute asiyejua kazi yoyote mshambamshamba
wengi mnatubambikia Mimba ili mje jituliza kivulini kumbe kuna lijamaa limeshakubebesha likakumbia sasa umemua na liwe miaka inaenda yeyote atakayesema phsssiii nageuka na nampa mimba ya jamaa

Jamani msitubambikie wakati tunawapenda, huwezi kuwa muuza mkaa, au mama ntilie, au mfagiaji wa maofisini hujaonjwa km ni kugegedana sawa tuendelee lkn kuhamia kwangu NO acha nikatafute new comer
 
Dah! Mi vyovyote alivyo ilimradi upendo uwepo tu, hao wanaofanya hivyo ni vijana wa kiume. Wanaume hatufanyi hivyo!

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Back
Top Bottom