Kwa wanaume tu!

Kwa wanaume tu!

Wasalaam!

Wakati mwingine wanaume hamjui mnachotaka au mnakuwa mnawaza nini! Unakutana na mdada anakueleza tu ukweli kwamba kazi yake ni kuuza mkaa, au mama ntilie, au mfagiaji wa maofisini au kazi yoyote zile zinazoonekana hazina hadhi, wewe unamkwepa na kama mlikuwa mnawasiliana unakata mawasiliano kwa nini?

Kwamba wenye kazi hizo tajwa hapo juu ni vimeo, au hawana hadhi au wana nini? Mnataka mdanganywe ooh, mi ni banker, teller, nna botique yangu sinza niko TRA pale makao makuu! Alafu mkija kugundua ukweli mnawalaumu wanawake wana fake maisha?

So which is better kwenu hebu wekeni wazi, tuendelee kuwadanganya ili twende sawa au tuwe wakweli tu?

Majibu yenu ni muhimu.

Have a good time to finalize the weekend!
[emoji8]

Mie napenda muwazi, bahati mbaya katika maisha yangu sijawahi kumpata mdada mzuri ambaye nikampenda alfu eti baada ya kujua kazi yake nikaacha kuwasiliana naye.! To me, what she does for a living don’t matter at all, what matters is Does she likes me same as i love her.

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Bravoo
 
Kiukweli wanawake ndo wanaongoza kwa vijitabia vya uchaguzi wa wenza hasa pale anapoujua ukweli kuhusu kipato cha mwenza! Unakuta mlishapanga na mipango yote ya ndoa lakini mdada anakusaliti hivivi , kisa kampata Bossi wa kampuni flani!
Huyo atakuwa ana tamaa
 
Back
Top Bottom