jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,024
- 1,466
Wasalaam Wana JF. Ndugu wanaume tujihadhari sana na huu ushauri wa Prof Janabi anaetamba sana Mitandaoni kwasasa kuhusu kufanya diet. Mojawapo ya mambo anayosisitiza sana ni Kutokula Chakula cha Wanga (Carbohydrates).
Nawatahadharisha wanaume wenzangu ili upige show kwa mkeo, girlfriend na hata mchepuko unahitaji nguvu za kutosha. Na hii nguvu unaipata kwa kula vyakula vya wanga.
Sikatai hata hizo protein Au fatty food na vegetables zinaweza kukupa calories(nguvu) lakini ni kwa kiasi kidogo sana!! ambayo haiwezi kukusaidia kupata nguvu za kufanya mapenzi na mwenza wako. Utakuwa dhofri hali, mashine itasimama kwa taabu sana! Na ikisimama itakuwa goi goi sana!
Mwisho wa siku mwanamke atakuona huna nguvu za kiume, atakutana na bodo boda kashiba ugali nyama kutoka kwa mama lishe atampelekea moto na mwisho mnasambaratika katika mahusiano. Kuweni makini na ushauri wake.
Ili upige show kikamilifu unahitaji nguvu (energy) inayotokana na wanga. Msije mkasema sijawaambia.