Kwa wanaume: umeshawahi kuungwa kwenye group la wanawake?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kuna makosa hutokea katika maisha na makosa mengine wahusika huwa hawajui kuwa wamefanya
Mojawapo ya makosa hayo ni jinsia tofauti kuungwa kwenye group la jinsia tofauti wakidhani wako peke yao
Kwa wanaume wenzangu je hili lilishawahi kukutokea?
Kwa wanawake je kwenye ma group yenu mlishawahi kukutana na hili?
 
Niliungwa moja hatari sana.. Wanayofundishana huko hata shetani hatii mguu
 
Hii ishu kuna member mmoja anaitwa Sodoku(kama sijakosea) aliwahi kuleta ushuhuda.

Alisema na yeye alikuwa anachangia kikekike ikawa vigumu kumtambua walipotaka kufanya uchunguzi ili wamtoe baada ya tetesi za kuwa kuna mtu wa jinsia ya upande wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…