Kwa wanaume: umeshawahi kuungwa kwenye group la wanawake?

Kwa wanaume: umeshawahi kuungwa kwenye group la wanawake?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kuna makosa hutokea katika maisha na makosa mengine wahusika huwa hawajui kuwa wamefanya
Mojawapo ya makosa hayo ni jinsia tofauti kuungwa kwenye group la jinsia tofauti wakidhani wako peke yao
Kwa wanaume wenzangu je hili lilishawahi kukutokea?
Kwa wanawake je kwenye ma group yenu mlishawahi kukutana na hili?
 
Nimeshawahi kuingia nikaone wanaongea nini kwenye hilo Grupu aise linafujo hilo, nilikuta wanauziana Vyupi, pedi yaani ni wanamakorokoro mengi.

Kuna mwingine alikuwa anuza dawa za Gono, UTI, Kaswende, pangusa mara Fangasi.

Mwingine anauza dawa za kuongeza hamu na nyege

Mwingine anauza dawa ya kuongeza mpododo

Mwingine anauza dawa ya kuzuia mimba

Aise Wanume tunasema tuna mambo mengi ila wanawake waacheni tu duh.
Niliungwa moja hatari sana.. Wanayofundishana huko hata shetani hatii mguu
 
Hii ishu kuna member mmoja anaitwa Sodoku(kama sijakosea) aliwahi kuleta ushuhuda.

Alisema na yeye alikuwa anachangia kikekike ikawa vigumu kumtambua walipotaka kufanya uchunguzi ili wamtoe baada ya tetesi za kuwa kuna mtu wa jinsia ya upande wa pili
 
Back
Top Bottom